Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

Utatibiwaje ndani ya nchi inayohitaji PF3 ndo ikutibu?? Si unaenda kuomba pf3 unapitiliza kortini kwa kosa la kuwashambulia askari wazalendo mliowarushia mishale huku wenyewe wamesinzia na bunduki.
 
Siku ccm wameachia hii nchi sijui wataenda kujificha wapi, mahakama na magereza itabidi zijengwe nyingine nyingi ili kuwatosheleza hawa wezi maana ni wengi kweli kweli. Zamu yenu hii endeleeni kulamba asali
 
Kama Koko imetengwa kama mali ya umma itakuwa.hivyo ila kama ni mali ya Serikali wanaweza ikodisha kukajengwa biashara ndefu itakayoleta pesa.
Sio kila kitu cha serikali lazima kipangishwe.
Leo hii mtoto wa Gongo la Mboto na babake wanaweza kwenda Coco Beach na kuenjoy free kabisa maana ni fukwe huru na ya wazi.

Mtu akiichukua akaweka kiingilio cha 10,000 huyo mtoto atamudu kweli?

Sisi tuliokuwepo Mzizima - DSM miaka ya 1970, karibia ufukwe wote ilikuwa ni bure.

Leo fukwe za bure hazizidi 3.

Watanzania wakapunge upepo wa baharini kwa kulipia kweli?
 
Hata Rais Samia na Uhuru walisema Kenya na Tanzania ni ndugu.
 
Kiuhalisia sa hivi lijamaa ni kama kopo hivi. Haliongei bali linaropoka tu hata bila kuangalia ubinadamu.
Nadhani atakuwa ni kijana wa mitaani tu, mtu mzima na na familia yake hawezi kuwa na akili za kijinga hivyo.
 
Imekuwaje tena jamaa walisema hakuna kule mauaji ni wanapotoshwaa, waziri jiuzulu kwa aibu hii [emoji51][emoji51][emoji51]
 
Yule Molle mbunge wa Siha aliyehama Chadema ni masai alikataa kuwa chawa wa Chadema

Lowasa pia masai alikataa kuwa chawa wa Chadema
Mbona wanakubali kuwa chawa Wa CCM? Au Kwa sababu mnawalambisha asali? Wachumia tumbo na wanafiki unawasifu?
 
Wamasai hawajui kutumia upinde na mishale. Wataalaam wa mishale Ni wasonjo ktk eneo hilo.
 
Imekuwaje tena jamaa walisema hakuna kule mauaji ni wanapotoshwaa, waziri jiuzulu kwa aibu hii [emoji51][emoji51][emoji51]
Kassim jina lake PINOKYO, muongo sana hana aibu halafu anaongea kwa ukali bila kufikiria, alidanganya JPM mzima wa afya anawasalimia kilichofuata kila mtu anajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…