The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,412
- 20,685
Unafahamu impact ya huu upotoshaji unaoufanya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafahamu impact ya huu upotoshaji unaoufanya?
Utatibiwaje ndani ya nchi inayohitaji PF3 ndo ikutibu?? Si unaenda kuomba pf3 unapitiliza kortini kwa kosa la kuwashambulia askari wazalendo mliowarushia mishale huku wenyewe wamesinzia na bunduki.Siasa za hovyo kama hizi sio zakupuuzwa,
Hivi kama Loliondo kumechafuka,je wameshindwa kujihifadhi maeneo jirani ndani ya mipaka ya Tanzania ambapo kuko shwari?
Hivi inawezekanaje ukajiita mkimbizi kutoka Tanzania ilihali nchini kwako ni wilaya yako tu kati ya wilaya zote ndio inamachafuko?
Haya mnayoyafanya mnahalalisha kauli ya serikali wanayosema kwamba hii issue inakuzwa.
Wakati fulani unaweza fanya jambo ukifikiri unajenga kumbe unaharibu.
Nashauri tafuteni namma nzuri yakufikisha ujumbe kwani haya maigizo mnayoyafanya yanafanana na mbinu za vijana wa sekondari.
Mungu ibariki Kenya
[emoji38][emoji38][emoji38]Hao masai watakuwa sukuma gang maana sisi tunapumua,,
Alisikika taahira sexless na sukule mmawia yakifanya uchawa kwa mama. View attachment 2259803
Sio kila kitu cha serikali lazima kipangishwe.Kama Koko imetengwa kama mali ya umma itakuwa.hivyo ila kama ni mali ya Serikali wanaweza ikodisha kukajengwa biashara ndefu itakayoleta pesa.
Hiyo mivilaza ya Uvccm haina ijualo zaidi ya uchawa.Lowassa ni mmeru, na Godwin Mollel ni muarusha, get your facts right.
Always CCM ipo kwa ajili ya maslahi ya CCM ili maslahi ya wateule wachache yadumu.Hawataki atetee maslahi ya wananchi wake?
Hao wamerudi kwaoWatu wanatamani ukimbizi yaani vurugu wafanye wao halafu wajiite wakimbizi.
Hata Rais Samia na Uhuru walisema Kenya na Tanzania ni ndugu.Uungwana ni Vitendo , kwa hili ambalo Kenya imetufanyia kwa kuamua kututibia majeruhi wa kimasai waliojeruhiwa kwenye maeneo yao ya Ngorongoro na kutelekezwa , ili wafe kwa kuvuja damu nyingi linahitaji pongezi kubwa sana .
Nachukua nafasi hii kuipongeza Nchi nzuri ya Kenya kwa kutusitiri sisi Watanzania na kututibu , tena bila kulipa visasi vya KUCHOMWA KWA VIFARANGA VYAO NCHINI MWETU , Wakenya Mungu awasaidie sana kwa namna mnavyotufanyia , Kuanzia Matibabu ya Lissu na hawa Wamasai wa Ngorongoro.
Mungu Ibariki Kenya .
Nadhani atakuwa ni kijana wa mitaani tu, mtu mzima na na familia yake hawezi kuwa na akili za kijinga hivyo.Kiuhalisia sa hivi lijamaa ni kama kopo hivi. Haliongei bali linaropoka tu hata bila kuangalia ubinadamu.
Huyo ni mwehuJf inakoelekea ni kule iliko Fb na insta, hebu oneni hii comment[emoji23].
Wakifika registered users 1M sijui itakuwaje tu.
Mbona wanakubali kuwa chawa Wa CCM? Au Kwa sababu mnawalambisha asali? Wachumia tumbo na wanafiki unawasifu?Yule Molle mbunge wa Siha aliyehama Chadema ni masai alikataa kuwa chawa wa Chadema
Lowasa pia masai alikataa kuwa chawa wa Chadema
Wamasai hawajui kutumia upinde na mishale. Wataalaam wa mishale Ni wasonjo ktk eneo hilo.Alichokisema mheshimiwa waziri mkuu ni kuhusu hifadhi ya Ngorongoro kwa wale wanaotakiwa kuhama kwa hiari, kwamba hapakuwa na mapigano yeyote. Uhiari bado uko palepale, japo kuna baadhi ya watu wameamua kupotosha.
Mapigano ya hapa na pale yametokea hapa kwenye eneo tengefu la Loliondo., Ni eneo tofauti na hifadhini Ngorongoro. Hapa wananchi walikuwa wanazuia timu iliyotumwa na serikali kuweka alama za mipaka. Hapa ndipo wananchi wamemchoma askari wetu mshale wa sumu akafariki.
Kassim jina lake PINOKYO, muongo sana hana aibu halafu anaongea kwa ukali bila kufikiria, alidanganya JPM mzima wa afya anawasalimia kilichofuata kila mtu anajuaImekuwaje tena jamaa walisema hakuna kule mauaji ni wanapotoshwaa, waziri jiuzulu kwa aibu hii [emoji51][emoji51][emoji51]