Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka yote hamuweki alamaWameogopa kukamatwa baada ya kufanya mauaji ya askari hivyo wanatibiwa kienyeji na wengine wapo Narok Kenya kwa wamasai wenzao na mbunge ndiye anayehamasisha wananchi wafanye vurugu badala ya kuwaelimisha wamasai wenzeke nini kunafanyika na nini lengo la kuweka alama kwenye hifadhi.
Si mlisema serikali haiwezi biashara lakiniKama Koko imetengwa kama mali ya umma itakuwa.hivyo ila kama ni mali ya Serikali wanaweza ikodisha kukajengwa biashara ndefu itakayoleta pesa..
Hili suala linavyokwenda kuna kila dalili ya kwenda kuigharimu nafasi ya uwaziri mkuu kwa Mh Ka[emoji3513] jumba bovu linaweza kumuangukia wakati wowote ule.Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Oleshangai Naomba kuthibitisha kuwa wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana kwenye zoezi la uwekaji wa beacons kwenye ardhi ya vijiji, Ngorongoro.
Wananchi hao wanapatiwa huduma nchi ya jirani ya Kenya baada ya kunyimwa huduma zahanati ya Osero kata ya Ololosokwan bila PF 3, na waliowapiga ndiyo wanatakiwa kutoa PF .3.
Ikabidi wakaamua kwenda Kenya kutibiwa, Waliopigwa ni wapiga kura wangu halali na siyo wakenya.
View attachment 2259338
Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai
Tunabinafsisha, aliyekwambia utamkuta afisa wa Serikali coco nani? Au tunaingiza ubia na private sector. Kuna shida?Si mlisema serikali haiwezi biashara lakini
Kwa hiyo walipatiwa Passport za Dharura pia?Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Oleshangai Naomba kuthibitisha kuwa wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana kwenye zoezi la uwekaji wa beacons kwenye ardhi ya vijiji, Ngorongoro.
Wananchi hao wanapatiwa huduma nchi ya jirani ya Kenya baada ya kunyimwa huduma zahanati ya Osero kata ya Ololosokwan bila PF 3, na waliowapiga ndiyo wanatakiwa kutoa PF .3.
Ikabidi wakaamua kwenda Kenya kutibiwa, Waliopigwa ni wapiga kura wangu halali na siyo wakenya.
View attachment 2259338
Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai
Kajitowa Mhanga liwalo na liwe sedai tukuru sheeWameogopa kukamatwa baada ya kufanya mauaji ya askari hivyo wanatibiwa kienyeji na wengine wapo Narok Kenya kwa wamasai wenzao na mbunge ndiye anayehamasisha wananchi wafanye vurugu badala ya kuwaelimisha wamasai wenzake nini kinafanyika na nini lengo la kuweka alama kwenye hifadhi.
Ameona aibuPongezi nyingi zimuendee huyu mbunge
Labda wasubiri 2025 maana huyo kachaguliwa na wananchi siyo wa kuteuliwaWasiwasi wangu ni huo ubunge jee ataendelea nao au ndiyo atapangiwa majukumu mapya?
Mafisadi yameikamata nchi vizuri snKwa akili za wachumia tumbo za watanzania wengi ambao wanaangalia darubini ya maisha kwa mita moja mbele hakutawahi kuwa na civli war.
Kiminyo kitaendelea na Ologarchs wanapasua anga tu, nasubiria yule aliyeitaka Coco Beach nae akaichukue sasa kwa raha mustarehe iwe mali yake. Marufuku kwa mshenzi yeyote kutoka Mbagala au uswahili kokote iwe K nyamala au Tandale kusogelea ufukwe bila kukabidhi "Luteni" au TZS10,000 kwenye lango la Beach!
Mungu ibariki KenyaMbunge wa Ngorongoro Emmanuel Oleshangai Naomba kuthibitisha kuwa wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana kwenye zoezi la uwekaji wa beacons kwenye ardhi ya vijiji, Ngorongoro...
Usishangae wakaomba malaika aje kuondoa hii mitandao ya kijamii.Kwa jeshi letu la polisi linavyofanya kazi, ni nadra polisi awe amekufa kisha rais wasiwe wameuwawa na kuachwa na vilema vya maisha. Kichekesho ni pale wanaposema kuwa kuna zoezi la uwekaji wa beacon...