Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
CCM wanaitafuna nchi vizuri snMaisha yanaenda kwa haraka sana na siku hazigandi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM wanaitafuna nchi vizuri snMaisha yanaenda kwa haraka sana na siku hazigandi
Wazazi wa Sabaya wali mlilia machozi ya damu samiaGaidi mbowe aliachiwa kwa mbeleko ya DPP lakini Sabaya anashinda kesi mwenyewe
Ukifukia ufieldmashal wa uongo kama ilivyo kwa wengi wa viongozi wa chama na sirikali wala huwezi jisikia vibaya. Kwa hiyo naamini hata yeye yuko sawa kabisa na hata sasa anawashangaa na kuwaona wazushi mnaodai kuna machafuko.Sipati picha ndugu yetu Katelefoni anajisikiaje!
Ndiyo maana yule jamaa anaitwa Uhuru KenyattaUungwana ni Vitendo , kwa hili ambalo Kenya imetufanyia kwa kuamua kututibia majeruhi wa kimasai waliojeruhiwa kwenye maeneo yao ya Ngorongoro na kutelekezwa , ili wafe kwa kuvuja damu nyingi linahitaji pongezi kubwa sana .
Nachukua nafasi hii kuipongeza Nchi nzuri ya Kenya kwa kutusitiri sisi Watanzania na kututibu , tena bila kulipa visasi vya KUCHOMWA KWA VIFARANGA VYAO NCHINI MWETU , Wakenya Mungu awasaidie sana kwa namna mnavyotufanyia , Kuanzia Matibabu ya Lissu na hawa Wamasai wa Ngorongoro.
Mungu Ibariki Kenya .
Wakenya ni wastaabu snHongera KWA uzi mzuri!!
Kongole KWA wakenya!!
Bila katiba mpya hakuna kituWajiangalie wasije kukabwa na miiba
Hakuna amesoma alama za nyakatiHuyu mbunge alichaguliwa ki halali au?
Vaa uhalisia wao(wahanga) serikali imeongea na viongozi viongozi hawajaongea na wananchi. Kifuatacho hapo ni nini kama sio kupinga. Fahamu chanzo na uhalisia wa mgogoro sio kuhemka tu.Wamasai Wa Kenya walitangulia Handeni muda mrefu na ndio wanaofanya fujo Loliondo na Ngorongoro.
Hili kabila Litawanywe kijeshi mara Moja.
Na atakayeleta Siasa kichwa chake hakifai kukaa Juu ya Shingo. Serikali ikilegalega kwenye huu upuuzii unaojificha kwenye makabila na Dini itakuja kuingia kwenye tatizo kubwa sana baadae.
Haiwezekani ardhi iwe ni Mali ya kabila Moja tuu ,eti Wao wanaamua wanavyotaka Wao WAKATI hawana umiliki Wa kisheria. Hao Wamasai Wa Kenya warudi kwao , Tanzania ardhi ni Mali ya Serikali.
Hakika wakenya ni waungwana Sana.Uungwana ni Vitendo , kwa hili ambalo Kenya imetufanyia kwa kuamua kututibia majeruhi wa kimasai waliojeruhiwa kwenye maeneo yao ya Ngorongoro na kutelekezwa , ili wafe kwa kuvuja damu nyingi linahitaji pongezi kubwa sana .
Nachukua nafasi hii kuipongeza Nchi nzuri ya Kenya kwa kutusitiri sisi Watanzania na kututibu , tena bila kulipa visasi vya KUCHOMWA KWA VIFARANGA VYAO NCHINI MWETU , Wakenya Mungu awasaidie sana kwa namna mnavyotufanyia , Kuanzia Matibabu ya Lissu na hawa Wamasai wa Ngorongoro.
Mungu Ibariki Kenya .
Tanzania ni kisiwa cha amani.Vaa uhalisia wao(wahanga) serikali imeongea na viongozi viongozi hawajaongea na wananchi. Kifuatacho hapo ni nini kama sio kupinga. Fahamu chanzo na uhalisia wa mgogoro sio kuhemka tu.
#Uzalendo, haki na usawa ni bidhaa hadimu sana Tanzania.
Angalia teuzi zote zimekaa kiukoo zaidiNdiyo maana wanajitahidi kuipiga chenga hawaitaki kabisa.