Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

Sipati picha ndugu yetu Katelefoni anajisikiaje!
Ukifukia ufieldmashal wa uongo kama ilivyo kwa wengi wa viongozi wa chama na sirikali wala huwezi jisikia vibaya. Kwa hiyo naamini hata yeye yuko sawa kabisa na hata sasa anawashangaa na kuwaona wazushi mnaodai kuna machafuko.

POLE SANA KWA HANGA!
 
Uungwana ni Vitendo , kwa hili ambalo Kenya imetufanyia kwa kuamua kututibia majeruhi wa kimasai waliojeruhiwa kwenye maeneo yao ya Ngorongoro na kutelekezwa , ili wafe kwa kuvuja damu nyingi linahitaji pongezi kubwa sana .

Nachukua nafasi hii kuipongeza Nchi nzuri ya Kenya kwa kutusitiri sisi Watanzania na kututibu , tena bila kulipa visasi vya KUCHOMWA KWA VIFARANGA VYAO NCHINI MWETU , Wakenya Mungu awasaidie sana kwa namna mnavyotufanyia , Kuanzia Matibabu ya Lissu na hawa Wamasai wa Ngorongoro.

Mungu Ibariki Kenya .
Ndiyo maana yule jamaa anaitwa Uhuru Kenyatta
 
Hili swala sasa ni kama kuna picha inanijia kua huenda kuna watu nyuma ya wamasai
 
Wamasai Wa Kenya walitangulia Handeni muda mrefu na ndio wanaofanya fujo Loliondo na Ngorongoro.
Hili kabila Litawanywe kijeshi mara Moja.

Na atakayeleta Siasa kichwa chake hakifai kukaa Juu ya Shingo. Serikali ikilegalega kwenye huu upuuzii unaojificha kwenye makabila na Dini itakuja kuingia kwenye tatizo kubwa sana baadae.

Haiwezekani ardhi iwe ni Mali ya kabila Moja tuu ,eti Wao wanaamua wanavyotaka Wao WAKATI hawana umiliki Wa kisheria. Hao Wamasai Wa Kenya warudi kwao , Tanzania ardhi ni Mali ya Serikali.
Vaa uhalisia wao(wahanga) serikali imeongea na viongozi viongozi hawajaongea na wananchi. Kifuatacho hapo ni nini kama sio kupinga. Fahamu chanzo na uhalisia wa mgogoro sio kuhemka tu.
#Uzalendo, haki na usawa ni bidhaa hadimu sana Tanzania.
 
Uungwana ni Vitendo , kwa hili ambalo Kenya imetufanyia kwa kuamua kututibia majeruhi wa kimasai waliojeruhiwa kwenye maeneo yao ya Ngorongoro na kutelekezwa , ili wafe kwa kuvuja damu nyingi linahitaji pongezi kubwa sana .

Nachukua nafasi hii kuipongeza Nchi nzuri ya Kenya kwa kutusitiri sisi Watanzania na kututibu , tena bila kulipa visasi vya KUCHOMWA KWA VIFARANGA VYAO NCHINI MWETU , Wakenya Mungu awasaidie sana kwa namna mnavyotufanyia , Kuanzia Matibabu ya Lissu na hawa Wamasai wa Ngorongoro.

Mungu Ibariki Kenya .
Hakika wakenya ni waungwana Sana.

Siyo sisi watanzania, tunajiwekea visasi, hata kwenye matibabu🥺
 
Vaa uhalisia wao(wahanga) serikali imeongea na viongozi viongozi hawajaongea na wananchi. Kifuatacho hapo ni nini kama sio kupinga. Fahamu chanzo na uhalisia wa mgogoro sio kuhemka tu.
#Uzalendo, haki na usawa ni bidhaa hadimu sana Tanzania.
Tanzania ni kisiwa cha amani.
 
Back
Top Bottom