Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali ilipofika tunahitaji kali kama hizi za Mwakilishi wa wananchiMbunge wa Ngorongoro Emmanuel Oleshangai Naomba kuthibitisha kuwa wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana kwenye zoezi la uwekaji wa beacons kwenye ardhi ya vijiji, Ngorongoro...
Yule Molle mbunge wa Siha aliyehama Chadema ni masai alikataa kuwa chawa wa ChademaWamasaai kamwe hawawezi uchawa na hawajui kuficha.
Anapingana na PM na chama chake kwa ujumla. 2025 kura za maoni zitamhusu, amalizie tu muda uliobaki.Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!
2025 hana nafasi.Amechagua kuwa mkweli na ukweli utamuweka huru ingawa kuwa mkweli kuna gharama zake.
Kwani Dr. Molel anasemaje?Hao ndiyo wamasaai hawanaga uoga wa kijinga
Vipi Dr. Molel?Wamasai huwa hawatumiagi vichwa vyao kufugia nywele ndio maana unaona wengi wana vipara
Yule Molle mbunge wa Siha aliyehama Chadema ni masai alikataa kuwa chawa wa Chadema
Lowasa pia masai alikataa kuwa chawa wa Chadema
Unachangia uzi huu huu ?Gaidi mbowe aliachiwa kwa mbeleko ya DPP lakini Sabaya anashinda kesi mwenyewe
Hivi unatumiaga kiungo gani kwenye kufanya maamuzi?Hapo anatetea ugali wake wala hawatetei wananchi, anajua wakihamishwa na ubunge umeisha kwani kama wananchi hawapo hawezi kuwa mbunge wa wanyama. Wakienda huko Tanga eneo lina mbunge wake, mbona hazungumzii askari wa watu waliomuua kikatili?
Politics mara zote uleta madhara sana kwenye jamii.Anapingana na PM na chama chake kwa ujumla. 2025 kura za maoni zitamhusu, amalizie tu muda uliobaki.
Serikali ya CCM inasema hakuna majeruhi na kwamba kuko shwari na zoezi la kuweka mipaka linaenda vizuri. Yeye anasema kuna majeruhi, hospitali zote za huko Ngorongoro, hazina hao majeruhi. Chezea politics wewe.