Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

Miaka yote hamuweki alama
 
Hili suala linavyokwenda kuna kila dalili ya kwenda kuigharimu nafasi ya uwaziri mkuu kwa Mh Ka[emoji3513] jumba bovu linaweza kumuangukia wakati wowote ule.
 
Kwa hiyo walipatiwa Passport za Dharura pia?
 
Wamasai Wa Kenya walitangulia Handeni muda mrefu na ndio wanaofanya fujo Loliondo na Ngorongoro.
Hili kabila Litawanywe kijeshi mara Moja.

Na atakayeleta Siasa kichwa chake hakifai kukaa Juu ya Shingo. Serikali ikilegalega kwenye huu upuuzii unaojificha kwenye makabila na Dini itakuja kuingia kwenye tatizo kubwa sana baadae.

Haiwezekani ardhi iwe ni Mali ya kabila Moja tuu ,eti Wao wanaamua wanavyotaka Wao WAKATI hawana umiliki Wa kisheria. Hao Wamasai Wa Kenya warudi kwao , Tanzania ardhi ni Mali ya Serikali.
 
Kajitowa Mhanga liwalo na liwe sedai tukuru shee
 
Hili suala linavyokwenda kuna kila dalili ya kwenda kuigharimu nafasi ya uwaziri mkuu kwa Mh Ka[emoji3513] jumba bovu linaweza kumuangukia wakati wowote ule.
Amejitakia
 
Mafisadi yameikamata nchi vizuri sn
 
Kwa jeshi letu la polisi linavyofanya kazi, ni nadra polisi awe amekufa kisha raia wasiwe wameuwawa, ama kuachwa na vilema vya maisha.

Kichekesho ni pale wanaposema kuwa kuna zoezi la uwekaji wa beacon, kisha wananchi wanatakiwa wahame! Ni bora hao Wamasai wakimbilie Kenya wapatiwe huduma za kibinadamu, kwa huku kwetu usishangae ukiingia vituo vya polisi kukuta watu wanavuja damu bila kupatiwa matibabu.

Ninachojaribu kujiuliza huyo mbunge yuko bungeni, kwanini asipige hata sarakasi huko bungeni kupinga huo unyama, badala ya kuandika huko kwenye social media? Spika ameshesema wakamatwe wanaorusha habari hizo za mgogoro mitandaoni. Ajue huku mitandaoni hakuna kinga.
 
Kwa jeshi letu la polisi linavyofanya kazi, ni nadra polisi awe amekufa kisha rais wasiwe wameuwawa na kuachwa na vilema vya maisha. Kichekesho ni pale wanaposema kuwa kuna zoezi la uwekaji wa beacon...
Usishangae wakaomba malaika aje kuondoa hii mitandao ya kijamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…