Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya


Kwa mfano wewe ungekuwa huko ngorongoro ungeelewa kinacho endelea?? Yani pale unapoishi na umejenga unakuja kuambiwa hapa sio kwako ungeelewa?
 
Yule alie tuambia rais Magu yuko salama na ana chapa kazi, ndie huyu huyu katuambia Loliondo oko salama na wanao eneza uzushi washughulikiwe.
Kwa kauli hiyo nategemea mbunge ashughulikiwe faster.
 
Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Oleshangai Naomba kuthibitisha kuwa wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana kwenye zoezi la uwekaji wa beacons kwenye ardhi ya vijiji, Ngorongoro...
Duuh Mambo si mambo
 
We uvccm tumia Akili yako sawasawa....
 
Ta
Hivi Wamaasai wakisha hamishiwa Handeni kutakuwa tena na jimbo huko
Wilay kubwa hii!
Kuna wengine tupo hapahap lakini taarifa tunapata JF, na kuona misafara ya FFU ndo ukumbuke kuhoji. Kimsingi ni migogoro ndani ya vijiji kadhaa.
 
Sio wajinga kukataa huenda zoezi sio halali. chukua mfano wewe kama mwanamme , jamaa aje kukulawiti ili atimize zoezi au adhima yake UTAKUBALI?. Shetwani wewe
Mfano uliotoa sio sahihi ni kosa kisheria mambo ya ulawiti, siku zote huwezi kushindana na serikali utaishia kupata matatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…