Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Dah hii angeandika mpinzani mambo yangekuwa tofauti kabisaSerikali inapotaka kuangamiza Raia wake.
Nani wakuingilia kati??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah hii angeandika mpinzani mambo yangekuwa tofauti kabisaSerikali inapotaka kuangamiza Raia wake.
Nani wakuingilia kati??
Wameogopa kukamatwa baada ya kufanya mauaji ya askari hivyo wanatibiwa kienyeji na wengine wapo Narok Kenya kwa wamasai wenzao na mbunge ndiye anayehamasisha wananchi wafanye vurugu badala ya kuwaelimisha wamasai wenzake nini kinafanyika na nini lengo la kuweka alama kwenye hifadhi.
Yule alie tuambia rais Magu yuko salama na ana chapa kazi, ndie huyu huyu katuambia Loliondo oko salama na wanao eneza uzushi washughulikiwe.Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Oleshangai Naomba kuthibitisha kuwa wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana kwenye zoezi la uwekaji wa beacons kwenye ardhi ya vijiji, Ngorongoro.
Wananchi hao wanapatiwa huduma nchi ya jirani ya Kenya baada ya kunyimwa huduma zahanati ya Osero kata ya Ololosokwan bila PF 3, na waliowapiga ndiyo wanatakiwa kutoa PF .3.
Ikabidi wakaamua kwenda Kenya kutibiwa, Waliopigwa ni wapiga kura wangu halali na siyo wakenya.
Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai
====
Katika Ukurasa wake wa Facebook, Mbunge wa Ngorongoro ameandika hivi:
Hivi Wamaasai wakisha hamishiwa Handeni kutakuwa tena na jimbo huko?Wasiwasi wangu ni huo ubunge jee ataendelea nao au ndiyo atapangiwa majukumu mapya?
Kwa sababu wao sio watu,wanaojua haki zao mpaka watembelee mgongo wa watu wengine?.Hili swala sasa ni kama kuna picha inanijia kua huenda kuna watu nyuma ya wamasai
Kuishi ndani ya CCM kunahitaji uvumilivu wa kipekee !! Mbunge ni lazima apate misukosuko baada ya kauli hii.Wasiwasi wangu ni huo ubunge jee ataendelea nao au ndiyo atapangiwa majukumu mapya?
Duuh Mambo si mamboMbunge wa Ngorongoro Emmanuel Oleshangai Naomba kuthibitisha kuwa wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana kwenye zoezi la uwekaji wa beacons kwenye ardhi ya vijiji, Ngorongoro...
Hawataki atetee maslahi ya wananchi wake?CCM ilivyo na visasi, watamsubiri kwenye kura za maoni za chama chao.
Amewalipua.Mbunge amekataa uchawa
hapo alipo tayari ana kesi ya uchochezi - anachochea mgomo ili wananchi wapinge zoezi halali la Serikali yao.Hawataki atetee maslahi ya wananchi wake?
We uvccm tumia Akili yako sawasawa....Wameogopa kukamatwa baada ya kufanya mauaji ya askari hivyo wanatibiwa kienyeji na wengine wapo Narok Kenya kwa wamasai wenzao na mbunge ndiye anayehamasisha wananchi wafanye vurugu badala ya kuwaelimisha wamasai wenzake nini kinafanyika na nini lengo la kuweka alama kwenye hifadhi.
Hili swala sasa ni kama kuna picha inanijia kua huenda kuna watu nyuma ya wamasai
Ccm wenyewe wanautumia huu msemo wakati wanajua kabisa kuwa sasa hivi huu msemo ulisha puuzwa kitambo
Wilay kubwa hii!Hivi Wamaasai wakisha hamishiwa Handeni kutakuwa tena na jimbo huko
Mfano uliotoa sio sahihi ni kosa kisheria mambo ya ulawiti, siku zote huwezi kushindana na serikali utaishia kupata matatizoSio wajinga kukataa huenda zoezi sio halali. chukua mfano wewe kama mwanamme , jamaa aje kukulawiti ili atimize zoezi au adhima yake UTAKUBALI?. Shetwani wewe
Inamaana Kenya wakifanya fujo watachekewaKwa jeshi letu la polisi linavyofanya kazi, ni nadra polisi awe amekufa kisha raia wasiwe wameuwawa, ama kuachwa na vilema vya maisha...