Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Oleshangai Naomba kuthibitisha kuwa wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana kwenye zoezi la uwekaji wa beacons kwenye ardhi ya vijiji, Ngorongoro...
Ila Kassimu bana, Mungu anakuona!
Wamasai hawana ardhi maalumu ndio maana serikali inataka iwape ardhi. Wao wamezoea popote ni halali yao kufuga Hata kama ni Shamba la MTU lenye mazao. Isitishe Wamasai wanahamishwa Ili wapate mazingira Bora zaidi. Hivi serikali inawezaje kuleta maendeleo Kwa WATU wasio na makazi maalumu? Tuache kuangalia mambo Kwa hisia binafsi. Tuangalie Kwa manufaa ya Taifa. Mfumo huu Wa kifugaji UNAPASWA kubadilishwa Ili ulete tija Kwa familia. Hivi unadhani ukimchukua mtoto Wa kimasai mwenye miaka kumi na tatu ukampeleka Saint Francis kusoma atajisikiaje baada ya muda ukimwachisha masomo Ili arudi akachunge porini pasipo Hata na choo na maji safi na salama?Honestly, hata sijaelewa hoja yako specific ni nini..
Lakini, haijalishi. Labda nikuulize swali hili moja..
Kwani, wewe kwenu ambako ni asili yako na wazazi wako ni wapi kwani ndugu 1000 digits?
Hebu tuashumu, ni kule Peramiho kata ya Mtogo ambako wazazi wako na vizazi vyao vimekuwapo...
Sasa, hebu jaribu kujibu swali hili ukitumia dhamira safi ya nafsi na moyo wako pasipo kujidhulumu mwenyewe..
Kwamba, itokee sasa serikali inaamua kuja kunyang'anya ardhi wananchi wote wa kijiji chako na vya jirani eneo lenye ukubwa wa zaidi ya 16,000km² bila kuwashirikisha, bila kukubaliana nao eti tu kwa sababu iliyoamua ni serikali...
How would you feel..? Wananchi hao ndugu zako wangefanyeje unadhani?
Hiki ndicho kinachotokea huko Loliondo na Ngorongoro...!!
Nakushangaa tu unavyowalauumu hao Wamasai na kuwapa kila aina ya majina mabaya eti tu kwa sababu hawakaribishwi watu wengine kwenye ardhi yao..
Sasa, utawezaje kumpangia mtu namna ya kuishi ktk eneo lake binafsi? Hiyo ni ardhi yao, wamezaliwa hapo tangu vizazi na vizazi. Wanalinda mila, desturi na utamaduni wao ikiwemo kutouza ardhi kwa wageni...
Leo serikali eti inataka iwatoe wamasai ktk ardhi yao ya asili ili imuuzie mtu toka taifa jingine kwa jina la "mwekezaji". Hiyo ni ngumu, haikubaliki. Kama ni hilo dude uliitalo "serikali" kushikwa sharubu, sasa hakika litshikwa na lazima litulie kwa sababu nguvu ya umma ni kuu kuliko kikundi kidogo cha watu kinachoitwa "serikali"...!
Unajua unachowaza na kuandika kweli ndugu 1000 digits?Wamasai hawana ardhi maalumu ndio maana serikali inataka iwape ardhi.
Wao wamezoea popote ni halali yao kufuga Hata kama ni Shamba la MTU lenye mazao. Isitishe Wamasai wanahamishwa Ili wapate mazingira Bora zaidi. Hivi serikali inawezaje kuleta maendeleo Kwa WATU wasio na makazi maalumu?