Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Ndiyo huwa hivyohivyo. Wanapoona wakinzani wao wanalalamika kufuatiliwa,kutishiwa au kufanyiwa dalili yoyote ya kuhatarisha amani wawe wanaelewa badala ya kutoa sentensi za kejeli kwamba:-Naona wameanza mambo yao kuelekea uchaguzi mkuu.
Kazi ipo...))
Ni vizuri hao watu waliohusika wakamatwe na wanyongwe tu.
-Nani akufuatilie wewe una nini? AU
-Serikali ikitaka kukudhuru haishindwi!AU
-Mtakuwa mna ugomvi wa kimapenzi kugombea mahawara.AU
-Mnataka/mnajiteka na kujiua ninyi wenyewe!