Pre GE2025 Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naona wameanza mambo yao kuelekea uchaguzi mkuu.
Kazi ipo...))
Ni vizuri hao watu waliohusika wakamatwe na wanyongwe tu.
Ndiyo huwa hivyohivyo. Wanapoona wakinzani wao wanalalamika kufuatiliwa,kutishiwa au kufanyiwa dalili yoyote ya kuhatarisha amani wawe wanaelewa badala ya kutoa sentensi za kejeli kwamba:-
-Nani akufuatilie wewe una nini? AU
-Serikali ikitaka kukudhuru haishindwi!AU
-Mtakuwa mna ugomvi wa kimapenzi kugombea mahawara.AU
-Mnataka/mnajiteka na kujiua ninyi wenyewe!
 
Wenzake walikua wanazielekeza risasi kwake yeye za kwake akawa anazipiga mbinguni utafikiri washambuliaji wake walikuwa huko angani nadhani ingempata hata moja kwenye makanyagio yake angegutuka yale hayakuwa maigizo hivyo angezielekeza zake sehemu sahihi
 
Ipo tofauti kubwa kati ya shambulio la Lissu na Sendeka.
 
Hahaaa ...kufaa kufaana. Huijui ccm
 
Sasa yeye kwanini alikuwa anapiga risasi hewani badala ya kumpiga adui walau hata kupiga tairi la gari ili wabaya wake washindwe kuondoka na hata wakitoroka basi gari libaki hapo enoo la tukio, ili kuja kutumika kama ushahidi na kuwabaini wahusika haraka.
 
Kweli aisee Wamemtelekeza hata kumafariji tu hakuna.
Ni kama walitamani iwe kweli.

Hapo ndio akae ajiulize hilo kundi lake ni marafiki au vipi.
 
Bora leo umetaja source.

Next time weka link maana tunakufehem kwa kukurupuka
 
Huyu dada anakurupuka sana

What if ni issues za battle zao wamasai na vita ya nani awe LAIGWANAN?

What if ni dhuluma?

Sendeka ni mtu wa ubabe, tambo na vitisho

Bahati mbaya ukanda anaotokea hawadekezani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…