imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Sasa sisi raia tutegemee niniInadaiwa pia kuwa ndani ya hoteli aliyokuwa akiishi kumepatikana vifaa vya kujifukiza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa sisi raia tutegemee niniInadaiwa pia kuwa ndani ya hoteli aliyokuwa akiishi kumepatikana vifaa vya kujifukiza.
No! Kitaalam Corona inapenda zaidi watu ambao tayari wana matatizo ya kiafya kama vile presha, kisukari, gauti,magonjwa ya moyo e.t.c ambapo hawa vigogo wanaongoza kwa kuwa na hayo magonjwa ukilinganisha na vijana ambao hawana matatizo hayo sana!
Baadhi ya wanaCCM watu wa ajabu sana, kuna mbunge Mchaga yupo Morogoo ila wanaona nongwa,ila Wahindi wämetäpaakaa na hawazungumiWasukuma tuna tia aibu sana nahisi ndo kanda inayoongoza kwa kua na wabunge wengi waarabu,wahindi sijui why hatuwaamini watoto wetu
Nsoji ga nva humlaga shi nkoiWasukuma tuna tia aibu sana nahisi ndo kanda inayoongoza kwa kua na wabunge wengi waarabu,wahindi sijui why hatuwaamini watoto wetu
Wasukuma tuna tia aibu sana nahisi ndo kanda inayoongoza kwa kua na wabunge wengi waarabu,wahindi sijui why hatuwaamini watoto wetu
Ya kwanza ni ipi?
Hakuna muda mrefu tutaweka nusu mlingoti...Jiwe alisema msihofu hili ni futa tu litayeyuka ,....
Akitoka akatambike.Aisee!! Ndugai hachomoki hapa..
Sina nia ya kutakia watu wafe ila ukweli ni kwamba kwa nature ya Corona ilivyo vigogo wataadhibiwa sana na Corona kwa kosa la kufanya maamuzi mabovu dhidi ya Corona!Labda Bunge sasa ndio litaona umuhimu wa kujadili tatizo la upumuaji kama sio kusitisha kabisa shughuli za Bunge.
Ndasa ni (alikuwa) mbunge wa Sumve sio Kwimba.Mbunge RICHARD NDASA , Mbunge wa KWIMBA CCM amefariki DODOMA HOTEL leo
Hivi tuna majanga mawili kwa wakati mmoja?Hii changamoto ya Upumuaji ndio inaondoka na vigogo, sie wengine KORONA
Hapo ndio covid19 itapeek na maambukizo yataanza kushuka