TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

Status
Not open for further replies.
Korona inatupenda wote, ni vile sisi vifo vyetu havitangazwi

Sent using Jamii Forums mobile app
No! Kitaalam Corona inapenda zaidi watu ambao tayari wana matatizo ya kiafya kama vile presha, kisukari, gauti,magonjwa ya moyo e.t.c ambapo hawa vigogo wanaongoza kwa kuwa na hayo magonjwa ukilinganisha na vijana ambao hawana matatizo hayo sana!
 
Wasukuma tuna tia aibu sana nahisi ndo kanda inayoongoza kwa kua na wabunge wengi waarabu,wahindi sijui why hatuwaamini watoto wetu

Mkuu basi wewe huwajui vzr wasukuma..nenda shinyanga ukawaone wanavyokichabanga kisukuma hao waarabu unaowasema wewe ..! Nenda didia huko ndani ndani...!
 
Asa itakuaje🤔
[/QUOTE]
Hii pandemic inadhibitiwa na wataalamu wa Afya hili la serikali kuwatuma Waganga wa jadi ni kuwapelekea janga
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom