Mbunge wa Tandahimba kupitia CUF, Katani Katani ajiuzulu na kujiunga CCM

Mbunge wa Tandahimba kupitia CUF, Katani Katani ajiuzulu na kujiunga CCM

Huyu jamaa mwaka 2010 alisababisha wanaTANDAHIMBA wengi hasara kubwa mwaka 2015 wakamshindisha ubunge leo anawasaliti.
Hakika mwaka 2020 wamakonde lazima wamsulubu
Huu NI usaliti mkubwa kwa sababu ya tumbo lake wakimdump akili itamkaa wanasiasa Malaya Malaya hawa NI mamluki tukiwapa vyeo vikubwa hawatosita kutuuza kwa Bei chee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbunge anapohama Chama chake, Je kwa muda huu uliobaki kutakuwa na uchaguzi?. Kama hakuna uchaguzi mbona atapoteza masilahi yake?. Kwa nini asingoje ili ahame Chama chake ifikapo Julai,2020 wakati Mbunge litakapovunjwa?.
 
Kuna mahali makosa mengi yanfanyika. Gharama ya haya ni kubwa mno. Miezi 4 kukamilisha utmishi, wanajiuzulu kupoteza hki zao zote? Nini nyuma ya pazia? Livumalo...
 
CUF imekufa
CHADEMA inakufa
ACT haijakomaa
Aende wapi sasa.
Hata kondoo wametawanyika
Na wengi wanamuelewa vzr. Wengine walishatangulia, wengine watafuata japo wapo wachache watakaobaki.
Naam, hata UMD, NCCR, TLP, CUF wamepita kwenye hii evolution
 
Aise maendeleo yatakuja kwa kasi Sana sasa
Mtegeme viwandaaa kama 500 hko kuanzishwa
Hospital, shule kujengwa nyinyi... Lami hadi vijijini......

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom