Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,081
- 10,455
Hahahaa. Shukran charty.Mtakumbukwa endeleeni tu kuweni watiifu na wavumilivu!Si mwajua mvumilivu hula mbivu[emoji5]
Hahahaa na baada ya kuhamia CCM wote hao wakapata nafasi za uongozi unadhani hilo limetokea kwa bahati mbaya? TafakariMkuu hufahamu kwamba Waitara alikuwa kada wa CCM kule Tanga? Wanaohama wote wanalalamikia demokrasia ndani ya chama, wanalalamika kwamba mwenyekiti anapiga pesa ndefu na hataki kupingwa? Zitto, Kitilla, Mzee Arfi, Mwigamba, Tuntemeke, Shonza, nk wote walilalamukia vitu hivyo hivyo. Ni wakati muafaka sasa CHADEMA ijiangalie upya kuhusu hizo tuhuma vinginevyo kibra ipo pembeni yao.
Naona dalili za mwisho wa CHADEMA
Angefanya mapema akagombea tena kwenye hilo jimbo, sasa hivi amechelewa!Write your reply...ipo live sasa waitara akitangaza kuondoka Chadema na kujiunga CCM.
It's the handouts from "Wazungu" that keep this begging government afloat, otherwise it can't survive even for a month.Avumilie kwa vipi wakati hoja za msingi hazijibiwi...hivi ungekuwa wewe ungefurahi hata kukatazwa usiende kwenye miradi uliyoipigania kisa eti inazinduliwa na mwenge eti wa ccm..upumbaf mtupu. Na waendelee kuachana na hao vibaraka wa wazungu. Wala ruzuku....ubahili hata ofisi wanaona ubahili kujenga....chama gani hiki..halaf eti kinataka kwenda ikulu...hahahahahha shwainnn
Wanachadema wauangalie uongozi na sio kuchukulia poa eti wananunuliwa sasa ni muda wa kutafakari nini tatizo?Yaani nyakati tunazo hitaji upinzani wenye nguvu ndiyo unaporomoka kwa kasi.Inabidi Mbowe aachie fikra mpya ziendeshe mambo.
WE TAYA MLA, C ULITOKA HUKO HUKO CCM, WASALIMIE WAMBIE YAMEKUSHINDA KWENYE UPINZANI. KWENDAAAA.Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Mwikwabe Waitara, atangaza kuniuzulu CHADEMA na kuhamia CCM. Kajiuzulu nyadhifa zake zote ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
> Asema sababu ni kutofautiana na viongozi wa ngazi ya juu wa CHADEMA baada ya kuhoji kuhusu matumzi ya luzuku pamoja na demokrasia ndani ya chama
> Ameeleza kuwa alihoji matumizi ya Milioni 237 za ruzuku kwani mpaka sasa CHADEMA haina Ofisi Kuu, ya Kanda wala Mkoa
> Mwenge wa Uhuru umekuja kuzindua miradi ya maendeleo niliyoipigania lakini naambiwa usiende pale na mimi shida yangu haikuwa CCM pale ilikuwa ni mradi niliopigania
"Leo nimejiondoa rasmi CHADEMA kwahiyo mimi sio Mbunge tena, nimetupa jongoo na mti wake" amesema Mwita Waitara
“Mimi nataka niende mahali ambako kuna kazi za kufanya,” Waitara amewaambia waandishi na kuongeza kwamba anatamani kuwa Waziri Kamili.
Habari zaidi....
Mbunge wa Ukonga (Chadema), Mwita Waitara amejiuzulu uanachama wa chama hicho na kujiunga na CCM leo Jumamosi Julai 28, 2018.
Waitara ametangaza uamuzi wake huo leo katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika ofisi ndogo za CCM Lumumba mjini hapa, akiwa sambamba na katibu wa itikadi na uenezi wa chama hicho, Humphrey Polepole.
Kwa uamuzi huo wa Waitara ambaye alikuwa CCM kabla ya kujiunga Chadema, jimbo la Ukonga linabaki wazi.
Waitara amekuwa mbunge wa pili wa Chadema na wa tatu wa upinzani kuhama chama na kujiunga na CCM.
Wengine wa Dk Godwin Mollel (Siha) na Maulid Mtulia (Kinondoni).
ALICHOANDIKA Zitto:
View attachment 821107
ndio uliyo yatabiri haya???Naona dalili za mwisho wa CHADEMA
Manunuzi nn? Ila hii biashara napendekeza ianze kulipiwa kodiPPRA Imehusishwa??
Ng'ome karudi kwenye zizi! ila atakua amekatika mkia!😛😛View attachment 820985
CCM yapiga KO nyingine ndugu watazamaji.
Sioni ajabu kwani kabla ya kwenda chadema alitokea huko huko