gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,053
Naunga mkono hojaNaona dalili za mwisho wa CHADEMA
Ndizo gharama za demokrasia mkuu,tutazibeba tu!Kanunuliwa ndio na akajipanga kwa njia io ya kuelezea ruzuku. Ingekuwa Bora Kama angeeleza you hayo akiwa ndani hata angeitisha waandishi wa habari na kueleza then tuone chama ingemfanya nn. Anakuja kuyaongea baada ya kuvuta bulungutu. Amevuta mamilioni za bunge na gari juu. Bado miaka miwili anapata shangingi lingine na 2020 anapata lingine halafu hapo tunashangilia badala ya kujiuliza Ni hasara kiasi gani ametutia
Kimebaki chama cha kupiga dili,hili tatizo la kutokua na demokrasia linawasumbua sana chadema,alafu wanavyopenda kulia lia sasa.Sasa kuna chama pale
upuuzi tu
Utaitwa msaliti. Ingawa umeandika ukweli tupuAwe amenunuliwa au vyovyote tutakavyomuita lakini kitu kimoja ambacho ni hakika ni Chadema inaenda kubaya. Tuache kuimbiana mapambio tuseme ukweli otherwise naiona NCCR mpya za zama hizi! Mkapa aliivyonza NCCR na sasa naona mzee baba anafanya the same to Chadema. Vyovyote vile haya yanayotokea CCM si ya kulaumiwa bali Chadema yenyewe, acheni kutafuta mchawi.
Mlichomfanya Dr Slaa 2015 wengine tuliandika hadi vidole vikauma lakini tuliona shimo ambalo wengine kwa mihemuko hawakuona. Msijipe moyo, tubuni makossa ili muanze upya na kujenga upya uaminifu ambao unapaswa kuanzia kwa viongozi wenyewe.
Amerudi nyumbani, si alitokea ccm au umesahau..Kama ni kweli basi chadema wanapata taabu sana!
Tunalisema hili kila kukichaYaani nyakati tunazo hitaji upinzani wenye nguvu ndiyo unaporomoka kwa kasi.Inabidi Mbowe aachie fikra mpya ziendeshe mambo.
Tunaimarisha kanda ya Ziwa mkuu.Punde atafuatia meya wa Jiji!! Sasa hata waitara naye na mihemko yake anahama si CHADEMA inapumulia masikio!! Nyinyi akina Mura waaichie chama wenye chama, wenzenu hawana nia ya kuongoza bali kujipatia manufaa ya kifedha. Nyinyi mnaenda huko mnadhani wana nia njema na ni wasema ukweli kama mlivyo nyinyi watu wa Mara mnakuta wenzenu waaaaala, wana yao mnabaki kuweweseka. Hamkujifunza kwa Chacha Wangwe, sawa haya sasa na huyu Waitara bado mtakuwa hamjajifunza?
Hahah!! Maneno kama haya upewa kwa mgonjwa alipoteza TUMAINI la kuishi Duniani.siwi mnafiki lakini jamaa bungeni alikuwa sweetheart sana kwa ccm,michango yake bungeni ilikuwa friendly sana kwa serikali
hahahahakama ni kweli basi karudi alikokuwa mwanzo
Hilo ndilo la msingi!Ametumia haki yake ila nilicho na uhakika nacho ni kuwa upinzani haiwezi kufa kwa Waitara kurudi alikotoka.
Si kweli!!!!!1Naona dalili za mwisho wa CHADEMA