Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Hao Mbwa wapo aina kama Nne hivi jina lao kuu ni Pit Bull ila kwenye aina hizo nne ndio yupo huyo American Bulldog sio mbwa hao yapo Makampuni SA ukiwa na huyo mbwa home ukitaka kukata Bima wanakataa labda ukate bima kubwa sana nilishangaa...wanakuuliza vitu hatalishi ulivyonavyo ukitaja Pit Bulldog basi hakuna Bima utaka hapo watakuzungusha tu.Hee🤣🤣🤣
Anaweka kinyongo😂😂😂
Mimi sitaki kabisa masuala ya mbwa.
Hivi life span ya mbwa huwa inarange miaka mingapi!?
Nimekumbuka mbwa wangu wa utotoni nilimwita Simba, siku moja namlisha chakula akanipara mkono.
Mbwa vyovyote atakavyokua akiwa normal hawezi kuleta matatizo kwa mtu yeyote maana Mbwa ana kawaida ya kumkazia binadamu na kumwangalia usoni aisha kusoma kama hauna madhara anaendelea na mishe zake sio wale wa ndani..Mimi sehemu yenye mbwa hata kwenda kusalimia sitaki.
Wabongo,nao waonekane Wana mbwa..matokeo yake ndio hayo.
Kuna hawa mbwa wanajimwaya mwaya mtaani
Yaani kukoseshana amani bila sababu.
Wanaozagaa mitaani wengi ni koko wanakua hawana madhara,sema wana mikwara hatari na ukiwaonyesha umehofia mikwara yao umekwisha,breed za kigaidi ni aghalabu sana kuzikuta zinazagaa zagaa ovyo mitaaniMimi sehemu yenye mbwa hata kwenda kusalimia sitaki.
Wabongo,nao waonekane Wana mbwa..matokeo yake ndio hayo.
Kuna hawa mbwa wanajimwaya mwaya mtaani
Yaani kukoseshana amani bila sababu.
Eti vitu hatarishi😂😂😂Hao Mbwa wapo aina kama Nne hivi jina lao kuu ni Pit Bull ila kwenye aina hizo nne ndio yupo huyo American Bulldog sio mbwa hao yapo Makampuni SA ukiwa na huyo mbwa ukitaka kukata Bima wanakataa labda ukate bima kubwa sana nilishangaa...wanakuuliza vitu hatalishi ulivyonavyo ukitaja Pit Bulldog basi hakuna Bima utaka hapo watakuzungusha tu.
Ni kweliMbwa vyovyote atakavyokua akiwa normal hawezi kuleta matatizo kwa mtu yeyote maana Mbwa ana kawaida ya kumkazia binadamu na kumwangalia usoni aisha kusoma kama hauna madhara anaendelea na mishe zake sio wale wa ndani..
Eti breed za kigaidi😂Wanazagaa mitaani wengi ni koko wengi wanakua hawana madhara,sema wana mikwara hatari na ukiwaonyesha umehofia mikwara yao umekwisha,breed za kigaidi ni aghalabu sana kuzikuta zinazagaa zagaa ovyo mitaani
Hawawezi Arusha naona wanaishi nao tuu mtaani tena wengine wapo mjini hapo pana sehemu ya parking ya CCM wamejaa hapo hawana zogo na mtu mbwa wanavuka Road kwa kuangalia kila upande hata huko Ngarenaro..Ni kweli
Wengi wa mtaani hawana shida,tunapishana nao
Lakini kwanini waachwe mtaani?
Siku umebeba zako fuko la viepe mishkaki,huyu mbwa si anakupora!
Hatari sanaHawawezi Arusha naona wanaishi nao tuu mtaani tena wengine wapo mjini hapo pana sehemu ya parking ya CCM wamejaa hapo hawana zogo na mtu mbwa wanavuka Road kwa kuangalia kila upande hata huko Ngarenaro..
Hii breed hata akuzoeee vipi.... Akiwa na Njaa na Hana chakula anacheza na wewe hata uwe unalala naye kabisaUkifuga mbwa unatakiwa umzoeshe watu tokea akiwa mdogo, na uwe unampa mazoezi ya kutosha, haswa mbwa wakubwa wenye nguvu.
Watu wanakariri kufuga mbwa wa kizungu fashion, kama unamnunua ili akae bandani atoke usiku tu bora uache.
Fala wewe acha dharau.Duh! Pole sana kwa familia kwa majeraha.
Mbona ni balaa sana km vile unamfuga simba/chui.
Naona wamenikatisha kabisa tamaa ya kufuga mbwa sasa! Itabidi tu niwe na masai sasa!
Nina German Sherphard mkuu huyu hana madhara kabisa...Hatari sana
Wewe unafuga wepi Mkuu!?
Hao wanafuga Pitbull jamii ya Simba sio Mbwa..Pole kwa majeruhi. Mungu awasaidie wapone. Sipendi mbwa, sijawahi hata kutamani kumfuga.
Yaani unashauri rottweiller we jamaa unataniaHii breed tulishaonywa mara nyingi tu lakini bado hatusikii. Chukua GS wako mzuri mpe matunzo utaona kama utapata shida. Hii breed hata mimi nilishaikataa nashauri kwa mbwa wazuri ni GS na Rottweiller
Pole kwa majeruhi na wanafamilia wote.
Wamewapa usingizi wa milele .........hapo hawasumbui tenaKwa hiyo maliasili wakawaua badala ya kuwapiga risasi ya usingizi wao ni kuua tu hovyo kabisa
Yaan hakuna sindano ya usingizi
Ni bora ya GS au Rottweiller kuliko hizi breed nyingine kama PitbullYaani unashauri rottweiller we jamaa unatania
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora nibaki na Makoko yangu kuliko hao mambwa ya maabara!