Mbwa aina ya Bulldog wajeruhi familia

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbuka ng'ombe wetu alikua dume, lilikua kali hilo. Sasa kuna siku nachunga si nikawa namzuia asiende upande wa pili, wee asinigeuke alinitimua mbio.

Baadae walilichinja, maana angeleta hasara.
Pole 🤣🤣🤣
Hawa viumbe sio wa kuwaamini
 
Bomu unalotaka kulitengeneza litakubomokea mwenyewe
 
Aisee
Hatari sana


Kuna paka hapa nyumbani,hata samaki anasusa kula.
Yaani mimi nakula maharage,Nampa samaki hataki!
Sijui ndio hajanizoea,sijui ndio anashiba panya..kwa kweli nimemchukia.
Umenikumbusha mkuu kuna paka mmoja hivi mkubwa nilipewa kama zawadi na mmama mmoja wa kijeruman akawa anasema mbwa mzuri sana anafaa kwa pambo nikamchukua yule paka alikuwa anarusha mashambuliz akiona watu mfano umekaa unaangalia TV unashangaa paka huyu hapa kakurukia akuparue mda mwingne anaparua sofa zote ilibid nimrudishe

Sent from my A004SH using JamiiForums mobile app
 
Sasa nimejua kwanini paka wangu ananiangalia kwa dharau sana

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo mimbwa siyo ya kufuga. Nina jirani yangu yalitaka kumpeleka kuzimu!!! Yalimshambulia majibwa manne!!! Imagine yeye ndiye alikuwa anayalisha, anacheza nayo na kufanya kila kitu!!!


But siku isiyo na jina yalimshambulia kidogo yamuue!!! Alilazwa hospital miezi miwili yuko kwenye coma!!!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mnaoongea hizi pumbaa hamuwajui hawa mbwa aina ya BULLDOG yani hata ulalae nae toka anazaliwa kuna siku haina jinaa atakufanya kitu kama hakujuii huwa wanapata wazimu sijui...!
Ungesoma nilichojibu na kuangalia Majibu yangu kwenye huu mjadala nafikiri usingekurupuka kujibu .....Rudi angalia niliyemjibu alikuwa ameandika Nini... Muwe mnasoma kuelewa sio mnasoma kujibu ...na msome aliyejibu alijibu(aliquote Nini).... Niliyemjibu ni Oppomall ambaye alisema " Hao mbwa wangepelekwa polisi wakafunzwe" ..ndio nikamjibu " samaki mkunje ingali mbichi " wanapelekwaje polisi kufundishwa wakiwa wakubwa hivyo ... !!? Pia, nilikoment mwanzo kabisa kabla ya hicho ulichosema nilisema mwanzo " hao mbwa hata uwazoee vipi hata kama unalala nao" .... Wakicharuka wanacheza na wewe.... Sasa sijui UMEKULA MAHARAGE YA WAPI .... kurupu... Punguzeni ujuaji..soma kuelewa alichoandika mtu na ufuatlilie michango yake katika mjadala husika.....
 
Mnaoongea hizi pumbaa hamuwajui hawa mbwa aina ya BULLDOG yani hata ulalae nae toka anazaliwa kuna siku haina jinaa atakufanya kitu kama hakujuii huwa wanapata wazimu sijui...
Shida ya watu wengi wanakurupuka tu kuanza kufuga bila kujua aina salama ya mbwa wa kufugwa majumbani. Yaani hao sio mbwa kabisa na sio uongo hata ulale naye kitanda kimoja ipo siku tu lazima atakudhuru tu. .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…