Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
mambo ya kufuga mazombi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh poleni,walikuwa na kichaa?!Habari za Asubuhi Team. Usiku wa kuamkia Tarehe 8/1/2023 majira ya saa Nne usiku Familia ya Ndugu yetu Nicholaus Kunju ilishambuliwa na Mbwa na kuisababishia madhara Kwenye sehemu mbalimbali za miili yao,walio shambuliwa ni Mke wake pamoja na watoto.Walikuwa Mbwa wawili aina ya Bulldog ambao anawafuga kwa ajili ya ulinzi nyumani kwake Usagara.
Mbwa hao walimshambulia binti yake wakati ametoka nje usiku huo wa saa Nne akiwa amesindikizwa na kaka yake mara baada ya uvamizi huo kijana mwingine na mama yao walitoka kutoa msaada lakini Mbwa hawakuwatii na kuwashambulia wote.
Wote walioshambuliwa na Mbwa sio wageni kwa Mbwa hao kwani wamekuwa wakiwahudumia kwa chakula.
Baada Familia huo kujinusuru na kukimbilia ndani Mbwa waliendelea kuwa wakali na hapakuwa na uwezekano wa kuwapatia huduma majeruhi kwani hakuna alieweza kuingia wala kutoka ndani ya uzio.
Wakati haya yanatokea Kunju alikuwa kazini zamu ya usiku na alipigiwa simu kujulishwa juu ya tukio huku na kuambiwa mmoja wa majeruhi ana hali mbaya.
Tulibahatika kufanya mawasiliano na Polisi kituo cha Misungwi ili waweze kufika eneo la tukio waue Mbwa ili msaada kwa majeruhi Upatikane.
Kwa ushirikiano na Zombwe na Lenox tulifanikisha kumtoa Kunju Kazini ili akashiriki uokoaji.
Polisi walifika Nyumbani kwa Kunju majira ya saa saba usiku wakitanguliwa na watu wa Maliasili na wafanikiwa kuwapiga risasi Mbwa wote wawili na Majeruhi wakapelekwa Hospilali ya Cf kwa Matibabu.
Majeruhi wote wanaendelea vizuri.Shukrani kwa wote walioshiriki Kwenye utatuzi bila kumsahau Sheik Abdallah Omari.
View attachment 2867407View attachment 2867408
Hawa ni Bulldog pekee duniani wenye mikia mirefu kama wa mamba.
Utasikia wanawakeUsiku wa kuamkia leo Tarehe 8/1/2024 majira ya saa Nne usiku Familia ya Ndugu Nicholaus Kunju ilishambuliwa na Mbwa na kuisababishia madhara Kwenye sehemu mbalimbali za miili yao,walio shambuliwa ni Mke wake pamoja na watoto.
View attachment 2865985
View attachment 2867418
Walikuwa Mbwa aina ya Bull dog ambao anawafuga kwa ajili ya ulinzi nyumbani kwake Usagara, Mbwa hao walimshambulia binti yake wakati ametoka nje usiku huo wa saa Nne akiwa amesindikizwa na kaka yake, mara baada ya uvamizi huo kijana mwingine na mama yao walitoka kutoa msaada lakini Mbwa hawakuwatii na kuwashambulia wote.
Wote walioshambuliwa na Mbwa sio wageni kwa Mbwa hao kwani wamekuwa wakiwahudumia kwa chakula, baada Familia hiyo kujinusuru na kukimbilia ndani Mbwa waliendelea kuwa wakali na hapakuwa na uwezekano wa kuwapatia huduma majeruhi kwani hakuna alieweza kuingia wala kutoka ndani ya uzio.
Wakati haya yanatokea Kunju alikuwa kazini zamu ya usiku na alipigiwa simu kujulishwa juu ya tukio huku na kuambiwa mmoja wa majeruhi ana hali mbaya, Tulibahatika kufanya mawasiliano na Polisi kituo cha Misungwi ili waweze kufika eneo la tukio waue Mbwa ili msaada kwa majeruhi Upatikane.
Kwa ushirikiano na Zombwe na Lenox tulifanikisha kumtoa Kunju Kazini ili akashiriki uokoaji. Polisi walifika Nyumbani kwa Kunju majira ya saa saba usiku wakitanguliwa na watu wa Maliasili na wafanikiwa kuwapiga risasi Mbwa wote wawili na Majeruhi wakapelekwa Hospilali ya Cf kwa Matibabu.
Majeruhi wote wanaendelea vizuri, Shukrani kwa wote walioshiriki Kwenye utatuzi bila kumsahau Sheik Abdallah Omari.
C & P FROM X
- Pdizaina05
Mzee KingungeNi Tanzania?
Hao mbwa si ndo wale waliomshambulia yule baba yake nanii hadi wakamuua?
Angalieni na mbwa wa kufuga, wengine ni chui.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jibwa kama hili unalifuga ili iweje? Sababu hata katika urembo halipo lipo kama shetani
View attachment 2866035
😂😂😂😂😂😂😂vilazabahati ni kwamba meno ya bull dog hayana ncha kali kama german sherfad au rottweiler,meno yao yapo kama punje za mahindi,,lakini kiuhalisia bull dog hawana akili wala kumbukumbu nzuri,na ni wazito sana wakati kuwafundisha,ni mbwa niliobahatika kuwafundisha lakini kichwani hamna ki2 tofauti na german shrfad
ChaiHao mbwa ni rahisi mno kuvamiwa na mapepo na ndio maana hupoteza kumbukumbu kwa sababu huvamiwa mara kwa mara na mapepo.
Mbona wa bongo wengi tu wanafuga Germany Shepherd na hawana shida. Wako very calm na mbwa wazuri sana kwenye ulinzi. Hao pitbull ni hatari sanaKuna matunzo ya kuwapa(tokea wakiwa wadogo) sema wabongo hatufatilii ni ujuzi kabisa unaitwa dog handling, hapo hatujazungumzia mafunzo(training).
Ukiona mbwa anasumbua, kapata malezi mabaya.
Itoshe kusema wabongo hatuwezi fuga hawa mbwa wakubwa wakubwa wakali, ni process.
rottweiler ukimcheleweshea tu chakula toka nduki bora afe na njaa yule mbwa hana simile na nadhani ndio mbwa anayeeongoza kuua sana wamiliki kuliko breed yoyote ile dunianhatari sana hata wale rotwellers nao sio mchezooo...!! ila bulldog ni full stop sio wa kufugaaa kabisa
Kinjekitile na MkeweNi Tanzania?
Hao mbwa si ndo wale waliomshambulia yule baba yake nanii hadi wakamuua?
Angalieni na mbwa wa kufuga, wengine ni chui.
Nna ndoto ya kumfuga simba aiseDaah watu wanafuga Simba bila kujua hao sio mbwa wa kawaida na wana nguvu mno niliwahi kuona jamaa alimfunga na mnyororo wa kawaida kwenye pick up yake nyuma akamwacha baadae yule Bulldog alitoka kama ajafungwa kitu na kuruka nje ya gari bahati nzuri aliemfata kumjeruhi alimchapa risasi bila kujiuliza ilikua maeneo ya Centurion na muhuni aliondoka kama hakuna tukio lililotokea..
Duh! Pole sana kwa familia kwa majeraha.
Mbona ni balaa sana km vile unamfuga simba/chui.
Naona wamenikatisha kabisa tamaa ya kufuga mbwa sasa! Itabidi tu niwe na masai sasa!
FactPia hao mbwa wanahitaji kuchangamshwa kama kutembezwa nje wakiwa wamefungwa ili wasiboreke. Wakiboreka wanapagawa ndio majanga
Daah achana nayo mkuu unafuga mnyama anakuona wewe kitoweo daah...Simba ni hatai sana kauli ya Wasambaa hiyo...Nna ndoto ya kumfuga simba aise
Ova
😂😂😂 nimechekaFala wewe acha dharau.
Njoo puyeeemu tuendelee kufurahi.😂😂😂 nimecheka
Ila sijui nacheka nini
Sikushauri Mkuu Rottweiler sio mbwa wa kutegemea kiusalama ni aggresive sana, likitokea jambo hawezi kufikiri sawa sawa yeye ni kukamata na kurarua, tofauti na German shepherd au Belgian Malinois.Nilipokua.kijana mdogo kwetu nimefuga sana mbwa hawa wa kawaida.Sasa hivi nimekua baba wa familia nimefuga Germany Shephard...jike..ana miaka 2 sasa.Nimekuja kugundua kuna utofauti mkubwa sana nikilinganisha na hawa wengine....yuko composed, hapanick, habweki ovyo ovyo, royal.muda wote anakuangalia straight machoni kama vile anasubiri umwambie kitu.Akibweka mishindo miwili tu mtu wa kawaida lazima a-feel.
Nawaza nitafute Rotweiler dume, nimix
Kuna mbwa wa show off pitbull na nduguze
Kuna mbwa wa ulinzi G shepherd na B Malinois
Kuna mbwa wa mapambo wakina Chihuahua na midoli wengine
Mbona mnatumia jina la Bull dog katika kesi isiyo muhusu? Huyo sio Bull dog, huyo ni Pitbull. Bull dog hawapo aggressive hivyo na wengi ni wastarabu.Bulldog ni wanyama wa mwituni sio wa kukaa maeneo ya makazi ya watu. Kwenye report za uvamizi wa mbwa kwa wamiliki wao, Bulldog wanaongoza. Wenzetu nje baadhi ya familia wameshaanza kutemana na hii breed.
Hawa mbwa mimi sishauri mtu kufuga kwasababu wanashida ya kuwa aggressive haraka. Mfano unaweza mtrain kwa kumdisiplini atii maagizo yako fresh tu ila siku ukafanya nae mzaha wa kumtania kidogo tu au ukafanya kitu ambacho si cha kawaida kwake na hajakipenda atakuzingua sasa kosea umpe nafasi ya kukubali akuzingue hapo ndipo utajua haujui akisha kukosea adabu mara moja ataongeza tena na tena.Hao mbwa kama unamfuga hakikisha unafuata masharti yake kuanzia mda wakula, aina ya chakula, mazoezi, tiba, na watu maalumu wakuwahudumia ukikosea kidogo tu ni hasara kwako na familia, mbwa wa matajiri hao, wengine tufuge tu Hawa wanao zurura Koko beach