Kumfumaster97
JF-Expert Member
- Sep 18, 2024
- 1,326
- 1,451
Tafuta hela mkuu acha kuwapangia watu maisha ,hii ni Dalili ya wazi ya kuwa mchoyo,na mtu unayependa kujiweka high ukiwa na pesaElewa mada,ishi kulinganana hadhi yako,sasa watu wamekuja msibani hakuna hata pa kufunga hema
🤣🤣🤣kabisa mkuuWabongo Kwa kupangiana maisha hatujambo. Topic yako inafanana na hii "Diamond na ustaa wake anamuoaje Zuchu"!!!
Utamlaum bure Samatta, wazee wetu wengi wako hivyo. Mimi nilipojipata nilitamani niishi na Baba Dar, lakini aligomea Kijijini ,Mbagala Zakheem sijui ranfi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi
Diamond sio mjinga kuhama Tandale,Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu,najua hata Sumaye alikuwa na nyumba Mbagala ila alipopata akili na madaraka alihama.
Hakuna Staa mwenye akili atakubali kuishi mbagala hapa nyumba hapa jalala
Mimi sio staa na sina hela ila siwezi kuishi mbagala.
Umemdhalilisha mzee wako
Wachezaji wenzako wa ulaya wakija kukupa pole watakuona wa ajabu sana
Sio kwamba wa masaki hswafi ila wastaafu hawapendi kelele wanapenda kuishi sehemu tulivu,mbagala ni ushenzini
Watu wamekuja msibani hakuna parking,hakuna sehemu ya kufunga hema
Kwani lazina kuishi kama maisha fulani🤣🤣 Mbwana kamjengea mzee wake ila msiba umefanyika kwenye nyumba anayomiliki mzee wake ..Hapo ni kwa kina Mbwana alipokulia yeye ,nyumba ya mzee ni private na ishu zote zinafanyika hapo .Msuva Safi kabisa..kawajengea wazi wake Makamba mawili nyumba Safi Na Fenci yake..hakuna uswahili
Diamond alikula Tandale, but kawajengea nyumba nzuri wazi wake madale Na Sio Tandale
Ukiwa Na Hela lazima ubadirike...kijichi Kuna maeneo mazuri yenye utulivu alitakiwa anunue nyumba nzuri ambapo Mzee anakaa Kwa utulivu
Na kijichi Sio mbali Na mbagala kama mzazi anataka kwenda kuona uswekeni kwake anarudi tu...anakaa Na wadau wake Kisha jioni anarudi kijichi mjengoni
Tubadirike..ukiwa Na Hela jipende, Kwa Sasa hata Yamin Yamali..kawajengea nisema kununua mjumba Wa kifahari wazazi wake Kwa Sasa wanaishi mitaa YA Joshua Na Sio uswazi kama hapo Zamani
Unaposikia dream life...Ni pamoja Na kubadirisha muundo Wa familia..hakuna mzazi ambaye haupendi Kula Maisha YA mwanae akiwa kivulini
Mimi mzee wangu nilimkarabtia nyumba yake enzi hizo ,alikuwa anakataa kabisa .Tv hataki mibadilisha amebaki na chogo lake la HT mpaka leo zaidi kaongeza king'amuzi ch azam ...Hataki kabisa nimalize pesa zangu ,nimejenga yangu na yeye ndiye kasimamia mwanzo mwisho ..Kwake hawezi kuondoka itampa tabu sana kuongea na watu na yeye yuko 70 hukoUtamlaum bure Samatta, wazee wetu wengi wako hivyo. Mimi nilipojipata nilitamani niishi na Baba Dar, lakini aligomea Kijijini ,
Naona unaumia ,hiyo ni nyumba yake binafsi aliyojenga na aliyojengewa ipo ...🤣🤣Event zinafanyika kwake sio alipojengewa ...Hoja ya alikataa Kuhama ni Uongo mkubwa.
Hata mimi kinitenga na wazee wenzangu ambao nimekuwa nao miaka yote nienda makazi mapya ambayo watu hawasalimiani huku nina uzee na maradhi yangu. Sitakubali.Wewe unafikiri mpaka unaandika yeye binafsi hajawahi waza hilo? Kuna wazee wanagoma kuhama eneo ambalo limekuwa sehemu ya maisha yao.
Acha kupangia watu maisha Mkuu, halafu hiyo stori ya Bakhresa kuhamishwa Kariakoo kwa nguvu ni ya uongo.Mbagala Zakheem sijui ranfi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam