Mbwembwe za DP World, kwa kuanzia tu wanawekeza Dola milioni 500 bandari ya Dar

Magu akiwekeza tr 2.5
 
Mtoa mada ni mdini sana na mpuuzi apuuzwe tuu, ingekuwa ni JPM or Mkapa angekuwa against, sio bandari tuu huyu bibi anataka nchi iongozwe kwa sheria za taleban, ana akili za al shabab huyu
 
Kama mama na mawaziri na polisi na USALAMA wameshindwa kuzuia wizi bandarini wangejiuzulu wote.

Kugawa bandari zetu Kwa wajomba HAIKUBALIKI.

Wangejiuzulu kije chama kingine kitachoweza zuia wizi na kuongeza ufanisi.

In other words unamaanisha Zanzibar hakuna wezi ndomana Sa100 hakugusa bandari za huko?
 
Sasa hiyo hela c hata bahressa anatoa. Mbona hela ndogo sana
 
Tatizo siyi hela, tatizo ni nani anafanya nini, aka, utaalam.
Wataalamu si wanaajiriwa tu. Kwan hayo mashirika ya ndege imerates au Qatar c wazungu wanaendesha manegement zao zote. Shida ya nchi yetu vilaza ndio wenye maamuz wakati hawajaruhusu utaalamu ufanye kazi.
 
Wataalamu si wanaajiriwa tu. Kwan hayo mashirika ya ndege imerates au Qatar c wazungu wanaendesha manegement zao zote. Shida ya nchi yetu vilaza ndio wenye maamuz wakati hawajaruhusu utaalamu ufanye kazi.
Hahaha, sivyo kama unavyofikiria. Kazi za bandari zinahitaji utaalaam mwingi sana. Hatuna.

Watanzania wameajiriwa wameshindwa, ndani ya muda mhache sana uongozi wa bandari umeshabadilishwa mara nyingi sana.

Unawafahamu DP World? umeshawasoma utaalam walionao wa mambo ya kuendesha bandari kwa ujumla?
 
My friend mi sio DP World tu mi shughuli za bandar nazifanya huu ni mwaka wa 25. Hakuna utaalamu wowote zaid ya kuruhusu wenye akili timamu wafanye hizo kaz. Ukifika Antwerp au Singapore ndio utajua acha hiyo port ya Dubai. After all hata hiyo DP World yenyewe wameajiri hao hao wazungu wataalamu which means hata bahressa angeweza kufanya kama ishu ni usimamiz na utaalamu. Ni propaganda tu za kiccm wakishanunuliwa hawana jipya.
 
Kwa kukujuza tu, ukubwa wa eneo ls bandari ya Jebel Ali ni eka 33,280.153 (acres) bandari ya Amsterdam ni eka 1, 500 (acres.) kws ukubwa huo inamaanisha bandari ya Amsterdam ziwe 22 ndiyo kwa moja tu inayioendeshwa na ndipo kwenye makao makuu ya DP World. Licha ya bandari zaidi ya 60 wanazozihudumia duniani.


Halafu kwanini tuajiri mtaalaam mmoja mmoja wakati DP World tayari wana wataalam zaidi ya laki moja ws kutokea mstsifa zaidi ya 169 duniani
waliobobea kwenye chain nzima ya usafiridhaji na bandari?


Unataka tutatuwe matatizo kwa kurudia makosa yale yale tuliyoyafanya kwa zaidi ya miaka 50?

Labda una miaks 25 ya kuajiriwa kazi bandarini lakini huijuwi unaonesha huijuwi biashara ya bandari.

Au labda ni baharia unaezunguka zunguka ndani ya meli lakini huna ujuzi wa biashara za Kimataifa.


Nakushauri ingia tovuti ys DP World uwajue kabla hujaanza kubishana kibaharia. Maana mabaharia kubishana kwenu ni kutaja majina ya bandari tu.


Mama anaupiga mwingi.
 
Mama Samia kaukuta wizi umeota. Mizizi bandarini kwa miaka, ndiyo anatatuwa tstizo kwa njia za kisasa kabisa.


Mama anaupiga mwingi.
 
Usikute huyu ni πŸ•‘ πŸ’― 😁
 
Wazanzibari hamtaki hizo pesa? Ngojea tuvunje muungano
 
Ukubwa wa eneo haimaanish ndio ukubwa wa kazi wewe. Kuna bandar zipo bize mara 100 zaid ya Dubai na hawana eneo kubwa. Ni kama pale nsalaala Oman. Ninachokuambia Mimi cpingi huo uwekezaji Lakin terms na condition zao ni kama huo upande wa ulijiandikia mkataba bila upande wa kwetu. Kuendesha bandar kama ya Dar unaweza kuajiri hata wataalamu 20 na ukampa bahressa anaiendesha. Dubai ile unayoijua ilianza kwa kuajiri watu kutoka nje haikujengwa na wenyeji ila hapa maccm yanauza tu haitaki kuleta wataalamu washirikiane na wenyeji kuisaidia nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…