Mbwembwe za DP World, kwa kuanzia tu wanawekeza Dola milioni 500 bandari ya Dar

Magufuli pekeake keshazika trillion Moja hapo bandarini harafu sisi tunaenda kuigawa kwa waarabu
Kapigwa au kapiga.

Hata kama hajapigwa kwa hiyo ukitaka alichotengeneza kusifanye kazi na kuongezewa! ufanisi?

Fikiri japo kiduchu.
 
Hata Messi anaitwa mbuzi kawaida sana hiyo.

Asalaam akeykum Bi FaizaFoxy ? Unajua akili nyingi za Watanzania ni fuata upepo hasa kwa wale Wanasiasa ambao hawapo Madarakani huwa wapo tayari kuleta propaganda na uchambuzi wa mambo kwa njia za kupotosha, Sidhani kama Serikali itatuingiza kwenye mambo yanayosemwa na Wanasiasa wa Upinzani na Watu wengine.

Hawa DP World naona hata kwa Kagame wapo

Dp world siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.

Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.

Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.

Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.

Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.

Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Hiyo ndo itakua the second largest investment baada ila bwa la umeme la Ethiopia consumed
$700m. Wengi mtakuja kumuelewa mama wakati kumekucha analo fanya hamna Raisi anae weza kulipinga labda awe mjinga tu.
 
Dp world siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.

Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.

Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.

Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.

Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.

Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
🇹🇿 Kodi mbalimbali za kuagiza vitu nje zikiwepo import duty, VAT , inspection fee na malipo mbalimbali yanayofanya bidhaa au CHOMBO kulipiwa mara mbili zaidi ya garama za ununuzi zitapungua au watabaki TRA na Mamlaka nyingine na vikokotoo vyao hivyo hivyo?

MWANANCHI mwenye uelewa wa kawaida hatakiwi kujua vifungu vya mkataba vipopoje anachotaka kusikia ni kwamba Kodi ulizokuwa unalipa mara mbili ya bidhaa Sasa utalipa robo ya garama za bidhaa. Hapo wote tungekubaliana.
Huo unafuu wa kujenga bandari kubwa, kuleta matoboti, na kuupakua mzigo haraka hayatusaidii kama garama nyingine zitabaki vilevile
 
Asalaam akeykum Bi FaizaFoxy ? Unajua akili nyingi za Watanzania ni fuata upepo hasa kwa wale Wanasiasa ambao hawapo Madarakani huwa wapo tayari kuleta propaganda na uchambuzi wa mambo kwa njia za kupotosha, Sidhani kama Serikali itatuingiza kwenye mambo yanayosemwa na Wanasiasa wa Upinzani na Watu wengine.
Hawa DP World naona hata kwa Kagame wapo

Kwa ubishani uliopo wa kumpinga mama Samia, bila sababu yoyote ya maana, umenifanya niamini Watanzania tumejaa chuki uhasidi na roho mbaya.

Tuna ile "kwanini yeye ajenge nyunba ya bati mimi bado nikae kwenye nyumba ya makuti", mtu anaanza kukuroga kwa hilontu, mkose wote. Badala ya yeye afanye juhudi ajenge ghorofa akupite. Uendelee wote.
 
Kwanini asikodishe bandari ya kwao ya Zanzibar au wao hawataki faida?
 
[emoji1241] Kodi mbalimbali za kuagiza vitu nje zikiwepo import duty, VAT , inspection fee na malipo mbalimbali yanayofanya bidhaa au CHOMBO kulipiwa mara mbili zaidi ya garama za ununuzi zitapungua au watabaki TRA na Mamlaka nyingine na vikokotoo vyao hivyo hivyo?

MWANANCHI mwenye uelewa wa kawaida hatakiwi kujua vifungu vya mkataba vipopoje anachotaka kusikia ni kwamba Kodi ulizokuwa unalipa mara mbili ya bidhaa Sasa utalipa robo ya garama za bidhaa. Hapo wote tungekubaliana.
Huo unafuu wa kujenga bandari kubwa, kuleta matoboti, na kuupakua mzigo haraka hayatusaidii kama garama nyingine zitabaki vilevile
Kwani kuna mwana nchi anae jua makubaliano/mkataba/ memorudum, ya muungano ndo maana tunakua na wa bunge kutuahakilisha sio haki ya kila mwana nchi kujua details za mkataba impossible
 
Hatuna mashaka na utendaji wao wa kazi. Wapo vizuri mnoo. Tatizo letu ni huu mkataba unamaslai gani kwa taifa na mkataba ni wa miaka mingapi ?? Na kwanini iwe bandali zote Za TZ bara ?? Kama ni mkataba mzuri kwa nini na bandari za zanzibar zisijumuishwe ? Ili tupate manufaa zaidi ??
 
Dp world siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.

Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.

Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.

Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.

Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.

Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Udini tuu umekukaaa Huna kingine

Zaidi ya kuchangia kwa kihisia za Dini yakoo

Hakuna asiye kujua

Ungana na mama yako anyeonge maneno ya kutia hurum huko Mwanza
 
Dollar million 500 Tanganyika hakuna hadi kwenda kumpigia magoti mwarabu?

Huyu mama tangu alipoanza kwenda kwa Oman kuonana na wajomba zaje, nilijua kitakachotokea ni kile kile cha mwinyi na Loliondo.
Oman na Dubai ni mataifa mawili tofauti...jielimishe...mtu akienda Kenya Kwa wajomba zake ndo Tanzania ipewe uwekezaji?
 
Back
Top Bottom