Mbwembwe za DP World, kwa kuanzia tu wanawekeza Dola milioni 500 bandari ya Dar

Kwa ubishani uliopo wa kumpinga mama Samia, bila sababu yoyote ya maana, umenifanya niamini Watanzania tumejaa chuki uhasidi na roho mbaya...

Hao wanaouipinga huo mkataba wa Bandari hawajawahi kufanya hata ishu yoyote ya Ku clear hata mzigo Bandarini yaani hata kusafiri kwa boti ya Azam kwenda Zanzibar.

Sasa sijui ni kipi kinachowafanya wanapiga kelele kuhusu mkataba wa bandari. Hata kuusoma hawajausoma yaani ni yale maneno ya Viongozi wa Upinzani ambayo sijui kama ni ukweli au ni propaganda.
 
Hatuna mashaka na utendaji wao wa kazi. Wapo vizuri mnoo. Tatizo letu ni huu mkataba unamaslai gani kwa taifa na mkataba ni wa miaka mingapi ?? Na kwanini iwe bandali zote Za TZ bara ?? Kama ni mkataba mzuri kwa nini na bandari za zanzibar zisijumuishwe ? Ili tupate manufaa zaidi ??
Anajua akiuza huku nchi atarudi kwao Makunduchi
 
Udini tuu umekukaaa Huna kingine

Zaidi ya kuchangia kwa kihisia za Dini yakoo

Hakuna asiye kujua

Ungana na mama yako anyeonge maneno ya kutia hurum huko Mwanza
Ma shaa Allah, ni vyema umeliona hilo. Najivunia kuwa Muislam na kuwatetea Waislam wenzangu kwenye haki.

Wewe unaumia kwa Uislam wangu?
 
Dp world siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.

Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.

Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.

Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.

Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.

Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
A staggering TZS 1.5 TRILLION!!!!
 
500ml$ ni za uwekezaji, sio kwamba anatoa sada kalawe, na pia inabidi zirudi Kwa muda Fulani walio jiwekea
 
Sana tena, najivunia dini yangu ya Uislam.

Wewe liinakuumiza hilo?

Na wewe jivunia imani yako au unaona haya, una imani ya paka kunya mavi kujipaka?
jinga wewe udini utakuua, unaishi maisha magumu haswa sababu ya uvivu wako, mabibi wenzako wanafanya kazi wewe kutwa kusifia ujinga badala ya kulinda rasilimali za nchi.
 
AlhamduliLlah, Uislam unatufundisha kukaribisha yeyote mwenye kutafuta maisha. Tunafahamu huwezi kuhama kwenu kama hakuna dhiki.

Uislam ni mwema sana.
Mnashinda kucheza bao watu wanakuja wanatajiri, tafuta muislamu tajiri(mtanzania halisi) tofauti na waarabu na wahindi, taja hata mmoja
 
DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.

Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.

Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.

Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.

Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.

Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Naona umelamna kitengo kimyakimya halafu hata hatutonyani!
 
Ma shaa Allah, ni vyema umeliona hilo. Najivunia kuwa Muislam na kuwatetea Waislam wenzangu kwenye haki.

Wewe unaumia kwa Uislam wangu?
Sawa wakati unachangia mambo ya public usiletee hisia zakoo

Kulinga na imani hakoo mkuu
Jitahidi najua kila mtuu anamapenzi ya dini yake lkn zui kuchangia publicly kiimani yako
 
Back
Top Bottom