DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.
Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.
Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.
Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.
Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.
Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Uwe na uelewa...sio kila siku kushadadia ujinga!.....watakaumia ni wajukuu zako....
Hizo pesa hawekezi serikalini......
Anaweka miundombinu yake itakayokuwa inamuingzia yeye faida!.....
Maana mkataba hauna ukomo wa muda(kichekesho)! muda wa mkataba ni hadi kikomo cha miundombinu yake ETI HADI ITAKAPOCHAKAA!.....
uliona wapi sehemu inayokuingizia faida... mmiliki akaiacha ichakae!?...
Chukua Mfano mdogo tu kwenye baa maarufu za kitambo...
Kuna kuchuja kwa baa!? Mwenye baa anadilisha miundombinu, kama jina,warembo,...na anaendelea kupiga faida miaka yote .... .
Huo Mfano wa baa niliokupa.....ni sawasawa na Dp world......
Chukulia mf. Ni wewe....je utaruhusu miundombinu ichakae na umeinunua ili ikuingizie faida kila siku!?
Ukiruhusu...basi utakuwa kichaa! Taahira kabisa!
Tumia akili...tumeshauzwa....
Hata akitumia dollar bill....100....anawekeza kwenye shamba lake...ambalo mmeshamuuzia!.