Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ndiyo fikra chanya.Nani alikwambia kwamba namuunga mkono Mbowe au mwanasiasa yoyote katika nchi hii.
Falsafa yangu ni kumuunga mkono yoyote ambaye anasimamia maslahi ya Taifa na kumpinga yoyote anayeenda kinyume.
Ninaamini katila hoja, na sio kuwa mshabiki wa mtu fulani au kikundi fulani. Hata wewe ukiongea jambo lenye tija kwa Taifa nitakuunga mkono, ila ukija ukavurunda pia nitakukosoa bila kujali kama nilishawahi kukuunga mkono hapo awali.
Nasimamia ukweli na sio ushabiki au upenzi.
Uzeni Bandari yenu. Sisi Watanganyika tumewastukia na hatutakiDP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.
Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.
Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.
Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.
Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.
Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Mwambie ma-ushungi hatudanganyiki. Hatutaki ubia na waarabu. Ni hatari kwa nchi yetu.DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.
Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.
Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.
Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.
Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.
Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Waziri Mbarawa kishafafanua hilo, msikilize clip yake imebandikwa juu hapo.Hofu ni kuongezeka gharama utoa mzigo wako hapo bandari.Je mapato upande wa Serikali.
Tanganyika tumekataa huo ujinga wenu pelekeni ZanzibarDP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.
Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.
Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.
Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.
Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.
Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Hebu mwenye kujua hiyo sheria namba 17 ya Mwaka 2014 kuhusu TPA anayoiongelea Mbarawa na tuifananishe na hiiSoma hii hayo ya muungano
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa👇🏾Mwambie ma-ushungi hatudanganyiki. Hatutaki ubia na waarabu. Ni hatari kwa nchi yetu.
Hatuwataki waarabu matapeli wapelekeni huko kwenu MalindiDP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.
Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.
Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.
Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.
Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.
Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Mali za Tanganyika sio za kuwapa wajomba zenuZanzibar tayari zamani, msikilize Mbarawa juu hapo.
Upo nyuma sana ya wakati
Utaweza kutaja nchi jirani zilizokimbilia MombasaMmeendesha wenyewe for over 50yrs mmefikia wapi kama nchi jirani zote zimekimbilia Mombasa?
Hao waarabu ni matapeli,Lissu bingwa wa sheria ukanda wa maziwa makuu kawachambua kindaki ndaki.Samia hii dhambi itamuandama daima kuuza mali za Tanganyika.DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.
Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.
Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.
Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.
Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.
Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Azam imekutapeli kinywaji gani ndugu?Hatuwataki waarabu matapeli wapelekeni huko kwenu Malindi
Wewe nyumbani kwako hakuna bomba la Gesi kutoka Ntwara?Uzeni Bandari yenu. Sisi Watanganyika tumewastukia na hatutaki