Mbwembwe za DP World, kwa kuanzia tu wanawekeza Dola milioni 500 bandari ya Dar

Dollar million 500 Tanganyika hakuna hadi kwenda kumpigia magoti mwarabu?

Huyu mama tangu alipoanza kwenda kwa Oman kuonana na wajomba zaje, nilijua kitakachotokea ni kile kile cha mwinyi na Loliondo.
Zipo shida management .
 
Sioni tatizo la hao DP cha muhimu vipengele tata vya mkataba vibadilishwe. Huwezi kuwa na mkataba wa milele au kuwapa wageni wahodhi bandari zote nchini
Hakuna mkataba wa milele bro watu wanachanganya habari kwa vitu wasivyovijua. Achana na wapotoshaji, hakuna mkataba wa milele. Kwanza ni ujuha wa kiakili kutafuta timeframe kwenye IGA badala ya mikataba halisi ya kibiashara baina ya DP World na TPA.
 
Hapo ndiyo lilipo tatizo mkataba wa milele. Hatukatai hata ingekuwa Samia Suluhu Group of Companies suala ni Mangungu Pact
 
DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.

Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.

Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.

Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.

Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.

Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Hapo unazungumzia Til.1.4 sio pesa ya kitoto hiyo
 
Hakuna mkataba wa milele bro watu wanachanganya habari kwa vitu wasivyovijua. Achana na wapotoshaji, hakuna mkataba wa milele. Kwanza ni ujuha wa kiakili kutafuta timeframe kwenye IGA badala ya mikataba halisi ya kibiashara baina ya DP World na TPA.
Sasa kukaa kwao kimya na kutumia nguvu nyingi kunawapa watu justification. Si mara ya kwanza CCM kuiingiza kingi nchi kwenye mikataba ya ovyo. Lazima watu wahoji. Kwanini kuhoji kuwe tatizo?
 
DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.

Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.

Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.

Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.

Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.

Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Mbona mfumo hou upo tangia zamani mimi nilianza kuagiza vitu toka china mwaka 2004 unapewa tracking number ambayo inaonyesha kila hatua ya mzigo wako
 
DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.

Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.

Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.

Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.

Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.

Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Intelegency ya nchi iwe makini wasije ungia na ka link ka KUTOROSHEA FEDHA NJE direct 😬😬😬 sijawahi kuuona wema wa waarabu hata siku moja,kwa kuongea utadhani wema kweli.
 
Back
Top Bottom