Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787]Akili ulizonazo hawana hao wapotoshaji...Mwendokasi hapo mnasimamisha watu kama maroboto ya pamba na kujaza mbuzi, kamradi kadogo tu kamewashinda mambo makubwa mtaweza?
Upuuzi mtupu. Dola 500m unaona ni pesa ya ajabu sana?DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.
Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.
Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.
Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.
Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.
Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Mbona tayari, umelala? Msikilize Mbarawa chini hapo 👇🏾
Wapotoshaji "ndembendembe kifo cha mende" in Prof.Lipumba's voice....[emoji1787]Mbona tayari, umelala? Msikilize Mbarawa chini hapo [emoji1484]
Siku ambayo Watanganyika hawataisahau daima kuuza mali zao kwa Waarabu.Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa[emoji1484]
Sheikh Mohammed bin Rashid meets Tanzanian President at Expo 2020 Dubai
Vice President and Ruler of Dubai and Samia Suluhu Hassan discussed ways to boost co-operation between their countries during talks
![]()
![]()
![]()
![]()
Sheikh Mohammed bin Rashid, Vice President and Ruler of Dubai, meets Tanzanian President Samia... Suluhu Hassan, at Expo 2020 Dubai. All photos: Dubai Media Office
![]()
Wazanzibar tuacheni na nchi yetuMngeweza mngekuwa mmefanya acheni akili kubwa ije ichape kazi!
".....kazi hiyo waifanye kwa ufanisi".Kama ni kweli uyasemayo, pamoja na kwamba siyo mambo mapya sehemu nyingi duniani kwa sasa hivi; basi ni kazi hiyo pekee inawatosha. Waifanye kwa ufanisi.
Haya mengine ya wao ndio wawe kila mahala, na bila kujua kwa muda gani achana nayo.
Tukitaka wafanye na hizo nyingine tutaamua sisi kwa wakati wetu kuwapa wao au tuwape wengine, au tufanye sisi wenyewe.
Katika uliyoeleza hapo kwa mbwembwe ni kama unaamini kuwa wataipeleka mwezini Tanzania kwa uwezo walio nao wao pekee!
Hiyo 500 wamekwambia watawekeza kwa muda gani? Isije ikawa ni matamanio ya miaka 20 ijayo!
Kama kweli serikali imeshindwa kupata 500m, iuze hisa kwa wananchi, na pia itafutwe kampuni ya kizalendo ya kuweka japo 20% tu ya hiyo. Kiasi kilichobakia cha 80% tuuziwe hisa. Turltapata pesa zaidi ya hiyo dola 500m, hata mara mbili yake alimradi kampuni isiwe ya kipigaji. Mbona NMB walipouza hisa kulikuwa na over subscription mpaka wengine tukarudishiwa pesa zetu tukiambiwa kuwa wanaotaka kununua hisa wamekuwa wengi mno?Lundo la watu nakuambia over 50Millions wote hatuwezi endesha Jambo dogo kama hilo 'Bandari' mpaka tutafute eti wawekezaji. Watufanyie sisi hatuwezi, Kama vile ni walemavu.
".....kazi hiyo waifanye kwa ufanisi".Kama ni kweli uyasemayo, pamoja na kwamba siyo mambo mapya sehemu nyingi duniani kwa sasa hivi; basi ni kazi hiyo pekee inawatosha. Waifanye kwa ufanisi.
Haya mengine ya wao ndio wawe kila mahala, na bila kujua kwa muda gani achana nayo.
Tukitaka wafanye na hizo nyingine tutaamua sisi kwa wakati wetu kuwapa wao au tuwape wengine, au tufanye sisi wenyewe.
Katika uliyoeleza hapo kwa mbwembwe ni kama unaamini kuwa wataipeleka mwezini Tanzania kwa uwezo walio nao wao pekee!
Hiyo 500 wamekwambia watawekeza kwa muda gani? Isije ikawa ni matamanio ya miaka 20 ijayo!
Kwani ufanisi ni lazima nchi jirani wakatoe mizigo? shame on you. hujui kama kuna soko la ndani?Nchi jirani wataenda kutoa mizigo Zanzibar? Muwe mnashirikisha ubongo kabla ya kuchangia. Maza akiwasikiliza nyie nchi itarudi stone age
Maliza matusi yote...[emoji1787][emoji1787]Hatujachelewa. Ma-ushungu na hawa mabasha zake hawatafanikiwa na huu upuuzi.
[emoji1787][emoji1787]Mngeweza mngekuwa mmefanya acheni akili kubwa ije ichape kazi!
Maza ameshauza tayariKama kweli serikali imeshindwa kupata 500m, iuze hisa kwa wananchi, na pia itafutwe kampuni ya kizalendo ya kuweka japo 20% tu ya hiyo. Kiasi kilichobakia cha 80% tuuziwe hisa. Turltapata pesa zaidi ya hiyo dola 500m, hata mara mbili yake alimradi kampuni isiwe ya kipigaji. Mbona NMB walipouza hisa kulikuwa na over subscription mpaka wengine tukarudishiwa pesa zetu tukiambiwa kuwa wanaotaka kununua hisa wamekuwa wengi mno?
[emoji1787][emoji1787]Vyanzo vyao vya habari?
Huo uwekezaji kama wana uwezo wa kuufanya bandari ya Dsm nini kimewashinda kufanya nchi nyingine walizofunguliwa kesi za kutosha?
Hizi propaganda za kitoto hazina maana.
Samia ni Shetani.
Toka wazungu waanze kuchimba Madini kule Mwadui kabla ya uhuru wamekoma lini ?!!![emoji1787][emoji1787]Shida sio hiyo shida iko kwenye ukomo wao wa kufanya hiyo kazi!!
Litakuwa jambo jema sana kwa nchi yetu..
Hiyo ni 1.2t, sio hela ya kutisha kwa hivyo. Labda uwaambie wasiojua chochote ndio wataona ni hela ya maana.DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.
Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.
Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.
Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.
Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.
Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Kujua kutengeneza ndio kuisimamia na wenye kuisimamia?!!!Mbona watanzania wapo wanajua kutengeneza mifumo ya tehama?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huna jipya wewe kinachokusumbua ni udini; Unajikutaga mwaraaaabu.... Pole lakini ustaazati