Kapigwa au kapiga.Magufuli pekeake keshazika trillion Moja hapo bandarini harafu sisi tunaenda kuigawa kwa waarabu
Kidumu chama cha mambuziKidumu chama cha mapinduzi!!!!
Hata Messi anaitwa mbuzi kawaida sana hiyo.
Sawa lakini mkataba uwe na ukomo ili kulinda maslai ya watanganyikaKapigwa au kapiga.
Hata kama hajapigwa kwa hiyo ukitaka alichotengeneza kusifanye kazi na kuongezewa! ufanisi?
Fikiri japo kiduchu.
Hiyo ndo itakua the second largest investment baada ila bwa la umeme la Ethiopia consumedDp world siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.
Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.
Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.
Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.
Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.
Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
🇹🇿 Kodi mbalimbali za kuagiza vitu nje zikiwepo import duty, VAT , inspection fee na malipo mbalimbali yanayofanya bidhaa au CHOMBO kulipiwa mara mbili zaidi ya garama za ununuzi zitapungua au watabaki TRA na Mamlaka nyingine na vikokotoo vyao hivyo hivyo?Dp world siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.
Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.
Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.
Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.
Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.
Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Kwa ubishani uliopo wa kumpinga mama Samia, bila sababu yoyote ya maana, umenifanya niamini Watanzania tumejaa chuki uhasidi na roho mbaya.Asalaam akeykum Bi FaizaFoxy ? Unajua akili nyingi za Watanzania ni fuata upepo hasa kwa wale Wanasiasa ambao hawapo Madarakani huwa wapo tayari kuleta propaganda na uchambuzi wa mambo kwa njia za kupotosha, Sidhani kama Serikali itatuingiza kwenye mambo yanayosemwa na Wanasiasa wa Upinzani na Watu wengine.
Hawa DP World naona hata kwa Kagame wapo
Kwanini asikodishe bandari ya kwao ya Zanzibar au wao hawataki faida?Kwa ubishani uliopo wa kumpinga mama Samia, bila sababu yoyote ya maana, umenifanya niamini Watanzania tumejaa chuki uhasidi na roho mbaya.
Tuna ile "kwanini yeye ajenge nyunba ya bati mimi bado nikae kwenye nyumba ya makuti", mtu anaanza kukuroga kwa hilontu, mkose wote. Badala ya yeye afanye juhudi ajenge ghorofa akupite. Uendelee wote.
Huyu bibi ni mdini sn, enzi ya Magu alikuwa anaponda kila kituKweli watu huangamia kwa kukosa maarifa.
Anatetea ujinga Sababu ni WaarabuWazinzabar mmekua madalali wa mali za Tanganyika, shame on you.
Kwani kuna mwana nchi anae jua makubaliano/mkataba/ memorudum, ya muungano ndo maana tunakua na wa bunge kutuahakilisha sio haki ya kila mwana nchi kujua details za mkataba impossible[emoji1241] Kodi mbalimbali za kuagiza vitu nje zikiwepo import duty, VAT , inspection fee na malipo mbalimbali yanayofanya bidhaa au CHOMBO kulipiwa mara mbili zaidi ya garama za ununuzi zitapungua au watabaki TRA na Mamlaka nyingine na vikokotoo vyao hivyo hivyo?
MWANANCHI mwenye uelewa wa kawaida hatakiwi kujua vifungu vya mkataba vipopoje anachotaka kusikia ni kwamba Kodi ulizokuwa unalipa mara mbili ya bidhaa Sasa utalipa robo ya garama za bidhaa. Hapo wote tungekubaliana.
Huo unafuu wa kujenga bandari kubwa, kuleta matoboti, na kuupakua mzigo haraka hayatusaidii kama garama nyingine zitabaki vilevile
Udini tuu umekukaaa Huna kingineDp world siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.
Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.
Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.
Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.
Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.
Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Kwani mama ni raisi wa zazibar acha ujinga.....zazibar ina raisi wake na Tanganyika inawakwakeKwanini asikodishe bandari ya kwao ya Zanzibar au wao hawataki faida?
Oman na Dubai ni mataifa mawili tofauti...jielimishe...mtu akienda Kenya Kwa wajomba zake ndo Tanzania ipewe uwekezaji?Dollar million 500 Tanganyika hakuna hadi kwenda kumpigia magoti mwarabu?
Huyu mama tangu alipoanza kwenda kwa Oman kuonana na wajomba zaje, nilijua kitakachotokea ni kile kile cha mwinyi na Loliondo.
We ni chizi, bandari ni suala la muungano hata hujui kitu dada anguKwani mama ni raisi wa zazibar acha ujinga.....zazibar ina raisi wake na Tanganyika inawakwake