Siku zpte mwanamke anamasikio matatu usipoweza kulizibua vzr hilo la chini hayo mengine hayataweza kukusikia vizuri, dharau ndio huanzia hapo peleka motto hilo la chini uone hahahahah mbn atatulia tuKuna wazee wenye mipunga wana vitambi kimoja chali,anampindua kijana unaye msifia kupeleka moto.Siku hizi hayana formula, hata usimamie kucha unaweza kipinduliwa mwenye hela ambaye kitandani sio mzuri.
Mwanamke hatulii kama hakupendi.Siku zpte mwanamke anamasikio matatu usipoweza kulizibua vzr hilo la chini hayo mengine hayataweza kukusikia vizuri, dharau ndio huanzia hapo peleka motto hilo la chini uone hahahahah mbn atatulia tu
Hujakua bado ila huku mitaani, kuna wazee wanatamba mbele ya vijana wenye pumzi zao.Siku zpte mwanamke anamasikio matatu usipoweza kulizibua vzr hilo la chini hayo mengine hayataweza kukusikia vizuri, dharau ndio huanzia hapo peleka motto hilo la chini uone hahahahah mbn atatulia tu
Hii mbegu adimu sanaπ kutembea na makulukutabuπBwaasheee, salamaaa nipo naangalia mke wetu π€£π€£ anae mnyanyasa mgogo wa watu..View attachment 3200800
Tofauti yake na MC Pilipili ni degree na cheo tu ila when it comes to women they both simp as fuckkkUzi unamuhusu Mc pilipili lakini lazima na mkuu wa wilaya atatajwa πΉ
Alizingua toka day 1 and all the world knew that he would be eventually be kicked to the curbs.Pilipili ashukuru alionewa huruma akae kwa kutulia. Kwanza alianza kwa kulia lia kama dent he set himself up for failure.
Jf kungekuwa na namba yako ya simu ningecopy nikurushie muamala.Ulikuwa na hoja⦠tatizo uwasilishaji!
Tatizo mi ninaloliona hapa ni moja, kwa case ya MC Pilipili, Ninamlaumu mwanamke, Ni kama kuna muda wanawake wanaolewa ili waondoe hiyo kasumba βya kutokuolewaβ baada ya hapo waendelee na maisha yao. Kwasababu WTF niolewe miaka mitatu tu? Ningeweza kufanya maamuzi ya kutokuolewa na nisipate madhara yoyote. Sorry not sorry binafsi ningeambiwa niolewe na pilipili ningekimbia nivunjike miguu. Ila Mena sababu ulimkubali mwenzio ulipaswa uishi nae, sababu watu wote tunajua alikuwa anakupenda, ulichofanya umemchezea mwenzio.
Msingi wa hoja yangu ni kwanini ndoa idumu less than 5 years? Maana yake kuna underlined issues ila mkaamua kuziignore, kila mmoja alikurupuka kwa nafasi yake ili mradi aolewe/aoe.
Binafsi siwalaumu watu wakiachana baada ya 10+ years, probably wamejaribu imeshindikana, less than this is highly questionable. (Merely opinions)
Sulemani alikuwa nazo na akashindwa, Daudi akashindwa pia. Tukumbuke Daudi ndie mfalme na kuhani bora wa Israel muda wote.Nguvu za rohoni? Kama umeoa mwanamke/umeolewa na mwanaume ambaye ameanza kukuchukia, kukunyanyasa na kukunyanyapaa hata uwe na nguvu za rohoni kama Yusuph hauwezi.
Mkuu leo unamwaga madini tu.Dada we acha tu! Kuna sababu nyingi sana zinawafanya wanawake waolewe hiyo ni moja wapo.
Sema ni tabia mbaya sana, Mtu akikupenda akaamua kukuoa anakuwa invested sana, hatakiwi kuwa disappointed kirahisi rahisi.
Daaah, pole sana mkuu.Da!!! braza mimi mwenyewe tangu mwaka 2021 niko singo,,,nilipigwa 2kio la ajabu kama yule bondia aliyekufa zanzibar!! kwa kifupi pamoja na kuishi na mke wangu kwa miaka ishiri na kuzaa watoto wanne kkujenga nyumba kadhaa,,,lakini alinipiga 2kio lilinigeuza kuwa mlevi mpaka leo hii,,,kazini wamaenistkia hawanipi kazi za ku2mia akili nyingi kwa wananiona mtambo!!!,,,,da!!!! NAWAOGOPA SANA!!
Mkuu sijui umeamkia upande gani ila unatema cheche tu kama Lissu. Hiki unachosema ni kweli.The machine was of high maintenance unfortunately, and these boys donβt seem to understand!
Tunabaki kusema kama mmependana sawa, sisi tutawa support π Kimoyomoyo tunasema mwamba kayakanyaga hamna rangi ataacha kuona!
Eeh cazee mbona km ulipania sana hili πΉπΉTofauti yake na MC Pilipili ni degree na cheo tu ila when it comes to women they both simp as fuckkk
Kinachowaponza show off na ukoromije.!!The machine was of high maintenance unfortunately, and these boys donβt seem to understand!
Tunabaki kusema kama mmependana sawa, sisi tutawa support π Kimoyomoyo tunasema mwamba kayakanyaga hamna rangi ataacha kuona!
Pilipili ana shida.Sasa hata kama huyo mena labda ana tamaa na mengi mengineyo ndio huyo pili pili afanye tour kwenye vyombo vya habari π
Sasa nawewe pesa ni kitu ya kunyima mwanamke kwel,,unyimi tu.Uchoyooo huo mbususu nayo ni kitu ya kumnyima mwanaume kweli
πππππ Ila huyo wa kaskazini ndio anatutia aibu zaidi. Bora huyo faragobe wa iDodomyaEeh cazee mbona km ulipania sana hili πΉπΉ
Hamna bana vijana wanapenda kweli tatizo wanawake wanaowapata hawajatulia..!! Na wao ukoromije mwingi, si unajua wote wa mikoani πΉπΉπ€£π€£
Kwenye hili wanawake mnajitakiaga wenyewe, yaani Mr afanye kazi au wewe akulishe tu kama nguruwe bandani? Kwanini asikunyanyapaeNguvu za rohoni? Kama umeoa mwanamke/umeolewa na mwanaume ambaye ameanza kukuchukia, kukunyanyasa na kukunyanyapaa hata uwe na nguvu za rohoni kama Yusuph hauwezi.
Hili nalo neno...haya njoo uchukue 1 mil hapa mremboSasa nawewe pesa ni kitu ya kunyima mwanamke kwel,,unyimi tu.