kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 1,994
- 2,510
alibeba kila ki2 ndani,akahamisha duka letu lilikuwa pale banana alaf akaenda kupnga paspojulikana,,,sasa cha ajabu kwa sasa ananitafutaDaaah, pole sana mkuu.
Ni nini hasa kilikukuta?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alibeba kila ki2 ndani,akahamisha duka letu lilikuwa pale banana alaf akaenda kupnga paspojulikana,,,sasa cha ajabu kwa sasa ananitafutaDaaah, pole sana mkuu.
Ni nini hasa kilikukuta?
Muacheni GOOD BOY apende nyie si wadudu hamjui malovee 🤭😆😆😆😆😆 Ila huyo wa kaskazini ndio anatutia aibu zaidi. Bora huyo faragobe wa iDodomya
😅😅 Eeeh si ipo Dodoma na mie nipo Dodoma acha niisakw mwiziHii mbegu adimu sana😁 kutembea na makulukutabu😁
maradhi mengi bro,alaf,kuna mshikaji jirani yangu ana mke na mchepuko jirani sasa mcchepuko kapat mimba,,,baada ya mtoto kuzaliwa amezaliwa akiwa na kichwa kama ncha ya bamia,wakati jamaa ana kichwa cha mpemba,,,so,,,hamna sehem salama...andazi moto,chai moto,kikombe cha bati!!!Mzeya hukuwa ata na michepuko miwili ya kufall back on to?
Wanaume wanaume ata kama umeoa usiwe na ujinga wakutokuwa na micheps anagalu miwili.
Kufa kufaana😅😅 Eeeh si ipo Dodoma na mie nipo Dodoma acha niisakw mwizi
Aisee! Hawa wanawake ni noma sana so mcheps nae kachepuka 🤣🤣🤣🤣maradhi mengi bro,alaf,kuna mshikaji jirani yangu ana mke na mchepuko jirani sasa mcchepuko kapat mimba,,,baada ya mtoto kuzaliwa amezaliwa akiwa na kichwa kama ncha ya bamia,wakati jamaa ana kichwa cha mpemba,,,so,,,hamna sehem salama...andazi moto,chai moto,kikombe cha bati!!!
Chogo sululu🤣maradhi mengi bro,alaf,kuna mshikaji jirani yangu ana mke na mchepuko jirani sasa mcchepuko kapat mimba,,,baada ya mtoto kuzaliwa amezaliwa akiwa na kichwa kama ncha ya bamia,wakati jamaa ana kichwa cha mpemba,,,so,,,hamna sehem salama...andazi moto,chai moto,kikombe cha bati!!!
Good Boy si unamchezesha😀 au ushambwagaMuacheni GOOD BOY apende nyie si wadudu hamjui malovee 🤭
Ila huyo wa Idodomya jau kweli mpk michozi km jinga 🤣🤣🤣😹
Cazee bhana hayo yametokea wapi sasa 😹🤣🤣Good Boy si unamchezesha😀 au ushambwaga
Hii inaashiria ushamalizana nae😆Cazee bhana hayo yametokea wapi sasa 😹🤣🤣
Mke wa Kaka ( Brazilian Footballer) aliachana na mumewe akatoa sababu ya kuachana eti " He was too nice to me"mwanamke hajali umekuwa naye kwenye mahusiano kwa muda gani mna watoto wangapi anachojali yeye ni hisia zake kwa wakati huo. kw kifupi wanawake wengi ni wabinafsi
Kikubwa wareno watoke tu au sioMuhimu jamani wee mwanume umekojowaaa, mwanamke lolote limkute hatujali
😁😁😁😁😁 Same reason for MC Pepper PepperMke wa Kaka ( Brazilian Footballer) aliachana na mumewe akatoa sababu ya kuachana eti " He was too nice to me"
Kabisa....ukijidai oh nataka nimridhishe au utavuja jasho bure tuuKikubwa wareno watoke tu au sio
Walianza had kufanana 😹🤣🤣Ngoja niwaongezee picha kutoka maktabaView attachment 3201506
Ukishaona mtu anapenda kutoa toa lawama kwenye mapenzi ujue ana shida. Kikawaida kila mtu ana mapungufu ila watu hawataki kuwa accountable kwa upuuzi wao. Anadai mwanamke ana tamaa toka mwanzo hakuona, halafu ya nini amtolee matangazoPilipili ana shida.
Ukifuatilia jinsi walivyokutana hadi kuanza mahusiano napo kuna shida.
oya 🤣,Ukitaka upate heshima kwa mke, fyatua watoto watano wanaofuatana, hapo heshima itakuwepo.