Mc Pilipili: Sipo kwenye ndoa, mwanamke amenifilisi

Mc Pilipili: Sipo kwenye ndoa, mwanamke amenifilisi

Tulijua hili lingetokea. Mwamba alionyesha wazi kua yeye ndio kampenda zaidi mwanamke kuliko mwanamke alivyompenda yeye.

Alionyesha wazi kua yeye ndiye aliyekua anahitaji sana ndoa kuliko mwanamke alivyokua anaihitaji. Kwa kifupi tu ni kwamba he was a simp! Women never get along with simps!!!
Lakini pilipilo ndo kazaa nje kabla ya mkewe na video aliwa na mchepulo zipo
 
Ninampongeza sana MC kwa kuonyesha ukomavu kwenye demokrasia... haina maana kung'ang'ania madaraka sehemu usiyohitajika. Kafanya vyema kuwaachia nafasi mabaradhuli wengine wafaidi ile chuma. Cha muhimu awasiliane na Homeboy Nikki wa II washauriane kisha watoe tamko la pamoja. Tamko lao ndo litakuwa mwongozo kwa wapumbavu wengine wanaokutwa na majanga kama yao.
 
Na huku moto umepamba moto 👇
Wazee wa kataa ndoa wanaupiga mwingi... hapa JF wanaoonewa sana ni single maza. 😄
 
Anatapatapa sasa na anahitaji msaada wa kimwili na kiroho pia. Hajawahi kuwa mchungaji na hatawahi kiwa mchungaji.

Alifuata upepo. Uchungaji unahitaji hekima, utulivu, ukomavu, maandalizi na kujitoa. Alikurupuka na ndio maana anaongea mambo ya hovyo.

Nimeona sehemu anasema "Yule Mwanamke alikuwa mchafu na hapendi kuoga pamoja na joto hili lote la Dar"
 
Mbona toka Jana anampost mkewe kumuwish happy birthday?
...watakuwa wamerudiana,sema jamaa ana shobo na yule manzi,hadi anaboa.. that's y demu anampelekesha atakavyo.
Kuna wakati ubandidu kiasi unahitajika kwenye mahusiano, hawa wenzetu wakishakuona umekufa umeoza baadhi yao(siyo wote) huanza kukuendesha watakavyo.

Ndiyo hayo yaliyomkuta McPilipili

Japo kibunda ni muhimu sana nowadays kufanya Mzunguko wa mapenzi uwepo.

Otherwise utakufa Singo Kwa kupiga nyeto
 
Back
Top Bottom