Kwahiyo Lowasa ni mchawi au mungumtu?
Mmmmhhhhh mboni leo ni misiba tu..
RIP mtikila tuta miss sana matusi yako kwa ukawa. Lowassa anadunda tu, kwa sasa bado yupo Pemba, kweli Mungu ndiye anayepanga ni mzima yupi afe na kuwaacha wagonjwa wanaendelea kudunda. Huu ni msiba ambao lowassa anaweza kuhudhuria bila kuzuiliwa
Juzi --------------------- jf alipachika maneno ya Nabii Lute kuwa kuna WINGU la msiba mkubwa wa kitaifa katika wakati huu wa Uchaguzi cha kushangaza mods wakautoa uzi huo as if ni uchochezi