lameckkawawa
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 944
- 665
Alimkashifu lowasa kuhusu ugonjwa,mpaka akatishia kumshitaki mahakamani kwamba kwa nini anagombea wakati ni mgonjwa
Naanza kumwogopa Lowassa, huenda ana mambo ya ajabu ajabu.....
Hakutimiza masharti. Jina lake likaenguliwa na Tume.Alikuwa mgombea urais??sasa uchaguzi c utaarishwa??
Nimekuta picha mahali zikionyesha gari ndogo imepata ajali na kuna mwili wa mtu amevaaa suti anafanana kidogo na Mchungaji Mtikila. Kama ni kweli basi Mungu wa UKAWA anaishi
Alikuwa mgombea urais??sasa uchaguzi c utaarishwa??
Afya ya Lowasa itaimarika sasa au atapona kabisa!Mwacheni Mungu aitwe Mungu Huyu bwana alimdhihaki lowasa juu ya ugonjwa wake.
alikuwa na kampeni mkoa wa njombe Leo kunadi mbunge wake leoBila shaka alikuwa katika kampeni za chama tawala.
Pole mchungaji.