Mch. Kimaro wa KKKT niliziona Mbio zake nikajua mwisho hautokuwa mzuri

Mbona kashfa za,Mashekhe zipo kibao tu!.Kuna kesi za ulawiti kwa watoto wa madrasa,Wizi mali za Bakwata,Migogoro ya ndani kwa ndani ktk Bakwata,kufuga majini,kufundisha watoto Ugaidi.N.K.
 
Hakuna binadamu mkamilifu. Busara itumike. Wanawarudisha Kijitonyama zama za giza.
Kwani hakuna mtu mwingine mwenye karama ya kufundisha?.Binadamu sisi wajinga sana ,tunamfanya mtu fulani ni very special kana kwamba bila yeye kazi ya Mungu haiwezi kusonga mbele,hivi kabla yake ilikuwaje?.Kwa Imani yangu ni kwamba Roho Mtakatifu ndiye anagawa karama kwa watu kwa hiyo akitoka huyo,atakuja mwingine mzuri zaidi.
 
Yule bwege alilewa sifa za uchaga, yumkini amekuwa mwizi sana kiasi Cha kujawa kiburi kuona kanisa ni lake binafsi. Huyu akaanzishe kijiwe chake hafai kabisa
 
Ujinga , huwezi ona uhalisia , jaribu kuajili wakristu uone utakavyo pigwa.
Utakujakumbuka Kimaro findings.
Ni sawa na kuajili wahindi kusimamia kiwanda. Jaribu kuajili ngozi nyeusi uone kama hawataimba hadi bulb za chooni.
Kimaro yuko sahihi.
 
Bring back our pastor[emoji23]! Kazi ipo
 
Mimi ningependa kujua huyu kimaro ni mwenyeji wa wapi hapa tanzania ili niweze kupima matamshi yake ya kusaliti kiapo chake cha uchungaji ni ya bahati mbaya au ni mpango.
Kwa hakika kwa kusema waislam ni waaminifu kuliko wakristo huku yeye ni mchungaji alifanya makosa makubwa. Ukristo na uislamu dini zote hizi zinahubiri maadili mema kwa binadamu.
 
Ujinga , huwezi ona uhalisia , jaribu kuajili wakristu uone utakavyo pigwa.
Utakujakumbuka Kimaro findings.
Ni sawa na kuajili wahindi kusimamia kiwanda. Jaribu kuajili ngozi nyeusi uone kama hawataimba hadi bulb za chooni.
Kimaro yuko sahihi.
Kote kuna waaminifu na wasio waaminifu. Kwa waislamu, wakristo na kwa wasio na.dini.Kimaro uwezo wake wa uelewa ni mdogo .
 
Ilitakiwa yeye asilimu awe mwislamu ili awe mwaminifu.

Maneno yake yanapingana na muasisi wa Ukristo yaani Kristo mwenyewe.

Alitakiwa kusimamishwa uchungaji na kurudishwa darasani.
Akajifunze upya maana ya utumishi wa Kanisa.

Mathayo 5:14 Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji hauwezi kusitirika ukiwa juu ya mlima.

15 Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya pishi, bali juu ya kiango; nayo yawaangaza wote waliomo nyumbani.

16 Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.

Kimaro anatakiwa kuiomba radhi kumuiya ya Kikristo.
Kama anataka kurudi katika utumishi.
 

Yule hafai kabisa. Anadai kwenye project zake kawaajiri vijana wa kiislamu. Yule angeendelea angekuja kuropoka kuwa wanawake wa Kiislamu wanajua mapenzi kuliko wa kikiristo. Bora wamempa likiizo ya siku 60 ajitafakari Kama anafaa kuwa mchungaji. Mropokaji kweli.
 

Yule ana kiburi. Wangemfukuza tu. Huwezi kutukana watu hadharani tena in general.
 

Mashehe wenu gani? Hawa walioenda kwa nabii geor davi?
 
Acha uongo wewe, huo utabaki kuwa ukweli, waislamu wanajali ibada kuliko wa kristo... hebu nenda siku ya ijumaa wakivyo serious kufunga maduka na kwenda ibadani wakati huohuo wakristo jumapili hawana mpango wa kufunga maduka na kwenda ibadani na wengine wanaenda asubuhi ili wawahi kurudi kuuza...... huyo buana katolea mfano mzuri tyu!

Ukimchukua mwislamu ukamweka kwenye biashara zako hakuibii ila wakristo heeee heee...... anabadilika ghafla!
 

Ikiwemo ndoa ya haji manara. Ungetuletea vivid cases sio kuongea juu juu.
 
Tatizo la KKKT ni kuishi dunia yao tofauti na uhalisia. Yaani vijana nao wana dunia tofauti wanakwenda na anayewaelewa

Ndio maana anashauriwa afungue kanisa nje ya KKKT. Ili vijana wamfuate huko.
 
Wanaolawiti watoto madrassa ni wakristu pia[emoji848] anaweza akawa ama asiwe sawa na ni rahisi kuona madudu ya wakristu sababu ya idadi yao ndani ya nchi, ukiwa haujafanya tafiti kuwa makini uongeapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…