Mch. Kimaro wa KKKT niliziona Mbio zake nikajua mwisho hautokuwa mzuri

Crap
 
Angekuwa na kiburi ninafikiri angeamua vinginevyo dhidi ya likizo ya lazima ya siku sitini.

Ninafikiri wivu na fitina za viongozi wa juu yake vimezidi. And it's understandable - human nature.

They want you to do good, but not better than them.

Yule sio mchungaji na motivational speaker. Alifaa kufukuzwa na kuvuliwa uchungaji. Alifanya Jambo la kijinga ambalo hata mtoto mdogo hawezi kufanya. Dr mzima unapigwa na wahuni halafu hasira zako unamalizia madhabahuni kwa kudai vijana wa kikristo sio waaminifu. Ndio maana alisimamushwa Kariakoo kwa kufoji cheti Cha form four.
 
Ungetuambia huyo Lucifer alikitoa wapi kiburi wakati hakukua na shetani Mwingine ZAIDI yake!!?

Kasome andiko linalosema Linda Sana moyo wako kuliko yote uyalindayo, maana ndiko zitokako chemichemi za uzima. Chanzo Cha dhambi Ni moyo, ndio somo kuu hapo.
 
Hamna cha maana ulichoongea hapo...umepoteza muda bure..Wewe unafikiri dini ni siasa kwamba aongee vitu mnavyotamani kusikia...kama kweli kwa historia yake kakutana na vijana wakristo wa hovyo why asiseme???

Nyie ndo mafarisayo kabisa...mnajiona hampaswi kusemwa..kwani nyie ni watakatifu??Kwa hiyo kuwasifia vijana wa kiislamu ndo shida kwa mtazamo wako,??

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 

Hii data umeitolea wapi? Eti mwislamu hakuibii. Vibaka na matapeli wa Kariakoo wanatokea wapi? Acheni uongo na huyo mchungaji wenu suala la uaminifu ni personal Sana huwezi kulisema kwa kutumia jina la mtu kisa la kikristo au kiislamu.
 

Wewe ndio hujui unachosema. Usijifiche kwenye ufarisayo, hakuna mtakatifu lakini mtu akiongea ujinga asiambiwe Tena in public?. Mchungaji mzima unafanya conclusion bila data. Angesema kwa miaka kumi mfululizo vijana wa kikiristo wamepatikana na hatia kwa wizi kuliko vijana wa kiislamu ningemwelewa.
Hivi huyo Mchungaji kimaro angesema vijana wa kikiristo tumekosa uaminifu isingetosha?. Mpaka kulinganisha na waislamu. Alikuwa anamaanisha Nini?.

Huwezi kusema vijana wote wa Kikiristo sio waaminifu kisa umepigwa na matapeli. Na Nani ana uhakika kwamba aliwahi kutapeliwa?. Yule ana hasira zake na Ukristo ndio maana katoa kauli ile. Bora angesema vijana wa KKKT yeye kakimbilia vijana wote wa kikiristo Tena kwa kuwalinganisha na waislamu.

Kwenye ulimwengu wa Roho kafanya ujinga Sana.
 
Kwani huoni jinsi sadaka na michango yetu inavyotafunwa na wachungaji na mapadre..jamaa yupo sahihi
 


Mzee wa Upako amelielezea vizuri kabisa hili.
 
Ujinga , huwezi ona uhalisia , jaribu kuajili wakristu uone utakavyo pigwa.
Utakujakumbuka Kimaro findings.
Ni sawa na kuajili wahindi kusimamia kiwanda. Jaribu kuajili ngozi nyeusi uone kama hawataimba hadi bulb za chooni.
Kimaro yuko sahihi.

Kaishauri serikali iajiri waislamu wote Sasa ili ufisadi usiwepo. Zanzibar Rais mwinyi kapiga kelele wizi ni Huyo mwingi mpaka Mkurugenzi wa taaisisi ya kuzuia rushwa Zanzibar akatumbuliwa. Kimaro ni Mchungaji asiye na hekima Wala busara hastahili kubaki KKKT, alitakiwa kuvuliwa uchungaji kwa kauli ile. Kila siku masemina kanisani halafu unakuja kuita vijana sio waaminifu kwa lipi?.

Yeye Kama sio mwaminifu ni yeye asijifanye mjuaji. Nani hajui Kama alisimamishwa kwa kashfa ya kufoji cheti Cha form four pale kanisa la Kariakoo? Kanisa likamsamehe likamrudisha baada ya miezi miwili, leo kajiona wa maana.
 
wafiraji tuu hakuna kitu.....
 
Kwani huoni jinsi sadaka na michango yetu inavyotafunwa na wachungaji na mapadre..jamaa yupo sahihi

Inatafunwa na Nani?. Kanisa gani? Shilingi gapi? Unapotoa allegations toa na evidence. Usiwe kana Mchungaji Kimaro.
 
Mi bado cjaona kosa hapo maana Yesu mwenyewe. Ndie aliyeeongoza kuwaponda wanafunz wake kama hoja ni kusema ukweli
 
Anawataja then anawabadilisha

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app

Hajawataja ,yeye kawalinganisha. Yani Rais aanze kudai raia wa Tanzania ni wavivu kuliko raia wa Kenya. Unadhani image ya raia ya watanzania itakuwaje?. Kwa mikwaruzo ya kidini iliyopo Tanzania, kutoa kauli Kama ile ni kuudhihaki Ukristo, na kuonesha Ukristo hauna maana. Ile kauli ili mvua nguo.
 
Mi bado cjaona kosa hapo maana Yesu mwenyewe. Ndie aliyeeongoza kuwaponda wanafunz wake kama hoja ni kusema ukweli

Acheni kumuingizia Yesu Kristo kwenye makosa yenu. Mchungaji mzima unakiri kwamba vijana wa kikiristo sio waaminifu na kwenye project zako umeajiri vijana wa kiislamu. Ndio maana mimi huwa nasema yule kimaro sio mchungaji ni motivational speaker.
 
Mbona kashfa za,Mashekhe zipo kibao tu!.Kuna kesi za ulawiti kwa watoto wa madrasa,Wizi mali za Bakwata,Migogoro ya ndani kwa ndani ktk Bakwata,kufuga majini,kufundisha watoto Ugaidi.N.K.
Kufuga majini? Hii ikoje mkuu? Kuhusu mambo ya ulawiti na ushoga tofauti ya uislam na ukristo ni moja tu, wakristo wanakaa kujadili uruhusiwe ama usiruhusiwe wakati waislam wanaupiga vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…