Mch. Mbarikiwa ahoji iwapo kiongozi wa dini kukemea uovu wa viongozi wa kisiasa ndiyo kuchanganya dini na siasa? Amtaka Kikwete kufafanua hoja yake

Tatizo Kikwete anatumia propaganda iliyopitwa na wakati, hili suala la mkataba wa hovyo wa bandari watu wawe na umakini nalo, kitendo chochote cha kujaribu kuwazuia watanganyika wasiupinge ule mkataba mbovu, kwa njia yoyote, utaonekana msaliti bila kujali nafasi uliyowahi kuishika hapa nchini.
 
Mmeambiwa dawa ni kuwakalia kimya TU.

Tutapiga kelele lakini mamlaka haiwajibu yenyewe itatenda TU.

Huu mkataba ushapitishwa muda utasema.

Na tumeambiwa hakuna mwenye mabavu.
Ni tatizo lkn naye ameishaonja machungu kwa alichokifanya, ukimya huwa hausaidii sanasana unakuongezea stress kwa uliyoyafanya na ambayo hukuyafanya, ni bora ukafunguka ukauachia moyo upumue.Ni kwamba waarabu wamepewa taarifa ila bado hawajakubaliana katka upande wao na yawezekana wakaja kivingine kwa kampuni nyingine, hivyo vitu kukamilika vinahitaji muda.
 
Ukombozi wa pili taifa la Tanganyika utatokea Mbeya, Singida na Kilimanjaro bila shaka..

Huyu mchungaji anaitwa Mbarikiwa Mwakipesile. Anatoka Mbeya. Hajulikani sana ktk harakati za kupugania HAKI..

Lakini ni huyu ni kamanda kwelikweli. Ni jasusi la mbinguni. Wengine wanatumia mahakama, mikutano ya kisiasa kama silaha za kupambana na dhuluma...

Lakini Mch Mbarikiwa Mwakipesile anatumia silaha kali na hatari zaidi kupambana na dhuluma toka Kwa mamlaka za serikali za kidunia. Silaha hizo ni MAOMBI na NENO LA MUNGU..

Hapa anapangua kombora lililorushwa na Jakaya Kikwete la kuchanganya dini na siasa. Bila shaka Kikwete hakueleweka. Hata mimi sikumwelewa aisee..
"Kanisa halipingi uwekezaji, lakini ni lazima uwekezaji huo uwe kwa maslahi ya taifa na wananchi waridhike nao. Wananchi wana haki ya kutoa maoni na viongozi wa dini tukiona mambo hayaendi, ni wajibu wetu kushauri na kukemea. Na tunapofanya hivyo msituambie tunachanganya dini na siasa" Askofu Fredrick Shoo, Mkuu wa KKKT.
 
Ukombozi wa pili taifa la Tanganyika utatokea Mbeya, Singida na Kilimanjaro bila shaka..

Huyu mchungaji anaitwa Mbarikiwa Mwakipesile. Anatoka Mbeya. Hajulikani sana ktk harakati za kupugania HAKI..

Lakini ni huyu ni kamanda kwelikweli. Ni jasusi la mbinguni. Wengine wanatumia mahakama, mikutano ya kisiasa kama silaha za kupambana na dhuluma...

Lakini Mch Mbarikiwa Mwakipesile anatumia silaha kali na hatari zaidi kupambana na dhuluma toka Kwa mamlaka za serikali za kidunia. Silaha hizo ni MAOMBI na NENO LA MUNGU..

Hapa anapangua kombora lililorushwa na Jakaya Kikwete la kuchanganya dini na siasa. Bila shaka Kikwete hakueleweka. Hata mimi sikumwelewa aisee..
JK ni mtu wa dili hivyo hataki dili zake ziguswe, familia yote ipo bungeni inatafuna pesa za umma
 
Ni tatizo lkn naye ameishaonja machungu kwa alichokifanya, ukimya huwa hausaidii sanasana unakuongezea stress kwa uliyoyafanya na ambayo hukuyafanya, ni bora ukafunguka ukauachia moyo upumue.Ni kwamba waarabu wamepewa taarifa ila bado hawajakubaliana katka upande wao na yawezekana wakaja kivingine kwa kampuni nyingine, hivyo vitu kukamilika vinahitaji muda.
Pole sana Bandari ndio hiyo imeenda
 
Sasa kwa nini wanaendelea kushikiliwa ndege yetu? Hawa Waarabu hawana rafiki kabisa. Kama wanashika ndege yetu leo, huko mbele si ndiyo satatunyonyoa kabisa bila hata maji!?
Sina taarifa ya kushikiliwa ndege yetu ila kama hili lina ukweli huenda kuna kishika uchumba ambacho mwarabu ameshatanguliza, iwe ni kupitia kulambisha watu asali au msaada wa namna fulani wa kinchi ukiwa na masharti kwamba apewe bandari, patamu hapo.
 
Kwa
Ukombozi wa pili taifa la Tanganyika utatokea Mbeya, Singida na Kilimanjaro bila shaka..

Huyu mchungaji anaitwa Mbarikiwa Mwakipesile. Anatoka Mbeya. Hajulikani sana ktk harakati za kupugania HAKI..

Lakini ni huyu ni kamanda kwelikweli. Ni jasusi la mbinguni. Wengine wanatumia mahakama, mikutano ya kisiasa kama silaha za kupambana na dhuluma...

Lakini Mch Mbarikiwa Mwakipesile anatumia silaha kali na hatari zaidi kupambana na dhuluma toka Kwa mamlaka za serikali za kidunia. Silaha hizo ni MAOMBI na NENO LA MUNGU..

Hapa anapangua kombora lililorushwa na Jakaya Kikwete la kuchanganya dini na siasa. Bila shaka Kikwete hakueleweka. Hata mimi sikumwelewa aisee.

Ukombozi wa pili taifa la Tanganyika utatokea Mbeya, Singida na Kilimanjaro bila shaka..

Huyu mchungaji anaitwa Mbarikiwa Mwakipesile. Anatoka Mbeya. Hajulikani sana ktk harakati za kupugania HAKI..

Lakini ni huyu ni kamanda kwelikweli. Ni jasusi la mbinguni. Wengine wanatumia mahakama, mikutano ya kisiasa kama silaha za kupambana na dhuluma...

Lakini Mch Mbarikiwa Mwakipesile anatumia silaha kali na hatari zaidi kupambana na dhuluma toka Kwa mamlaka za serikali za kidunia. Silaha hizo ni MAOMBI na NENO LA MUNGU..

Hapa anapangua kombora lililorushwa na Jakaya Kikwete la kuchanganya dini na siasa. Bila shaka Kikwete hakueleweka. Hata mimi sikumwelewa aisee..
Kwani yeye Kikwete alifuata nini kwa Wasabato il hali yeye ni kiongozi wa siasa?
 
Yeye na wewe mko ktk ulimwengu tofauti. Huwezi kuelewa haya. Nuru na giza haviwezi kupatana. Wewe ni sehemu ya giza (ukosefu wa uelewa na ufahamu). Pole sana..

Unaweza kuwa wewe ndiwe hasa mgonjwa wa akili huku ukijidhania kuwa una hekima na nguvu kumbe ni kopo tupu kichwani..

Watu kama wewe walikuwepo hata kule Korintho ya kale.

Lakini Mtume Paulo katika waraka wake wa kwanza kwa Wakorintho, anakupa hekima na maarifa ili upanue ufahamu wako ili uepuke hukumu

"....bali Mungu aliyachagua mambo mapumbavu ya dunia awaaibishe wenye hekima; tena Mungu alivichagua vitu dhaifu vya dunia ili aviaibishe vyenye nguvu; tena Mungu alivichagua vitu vinyonge vya dunia na vilivyodharauliwa, naam, vitu ambavyo haviko, ili avibatilishe vile vilivyoko;..."

1 Kor 1:27‭-‬28 SUV

Wewe unamwona Mbarikiwa kama mnyonge au dhaifu na kichaa, it's ok....

Lakini Mungu hutumia wanyonge, dhaifu na waonekanao kwa macho ya kibinadamu kama vichaa ili awaaibishe wenye hekima ya kibinadamu, wenye nguvu za kibinadamu na pia naaam, avibatilishe vilivyoko..

Wakati wa kuaibika wajionao wana hekima na nguvu, ni huu umekwisha kuwadia...

Wakati wa Kila kitu kilichopo kubadilishwa, ni huu umekwishakuwadia..

Hili ndilo NENO LA BWANA...
Amen [emoji1666]
 
Ni tatizo lkn naye ameishaonja machungu kwa alichokifanya, ukimya huwa hausaidii sanasana unakuongezea stress kwa uliyoyafanya na ambayo hukuyafanya, ni bora ukafunguka ukauachia moyo upumue.
Ni hakika na kweli tupu..

Kauli za "bora kukaa kimya" ni ya kujifariji na kukuza tatizo badala ya kulitatua. Yapo mambo ambayo majibu yake ni kukaa kimya na yapo ambayo ili liishe ni lazima kutoa Neno na inakuwa ni suluhisho. Hili ni mojawapo..

Rais wa nchi kama kiongozi mkuu wa nchi, mwenye kauli ya mwisho ktk nchi hapaswi kujivunia ukimya wake kwenye jambo/mambo ambayo yanahitaji mwongozo wake ili kuonesha mwelekeo wa taifa na watu wake..

And infact, wala si kwamba Rais Samia Suluhu Hassan kakaa kimya ila anazungumza lakini ktk namna ya usutaji na uchambaji wengine. Hii siyo sifa ya kiongozi ktk level yoyote.!

Kwa hili hata Askofu Fredrick Shoo na mkuu wa kanisa la KKKT, alikosea kuusifu ukimya wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa jambo ambalo linaleta mgawanyiko na mkanganyiko wa kijamii na taifa. Huo ni ushauri mbaya bila shaka yoyote..
Ni kwamba waarabu wamepewa taarifa ila bado hawajakubaliana katka upande wao na yawezekana wakaja kivingine kwa kampuni nyingine, hivyo vitu kukamilika vinahitaji muda.
1. Kwanza ili kulimaliza hili jambo, hatua ya kwanza ni kufutwa na kuutupilia mbali mkataba huu wa kitumwa, usiofaa na usio wa manufaa kwa nchi yetu ya Tanganyika..

2. Pili, ieleweke kuwa Watanganyika wote tunahitaji economic investments both foreign & local ili kuleta ustawi wa jamii na taifa kwa ujumla...

Kwa hiyo, si tu Dubai/DP World wanaweza kuja kwa kutumia kampuni nyingine kuwekeza nchini kwetu bali hata DP World wenyewe hawahawa kama walivyo sasa wanakaribishwa sana kuja kuwekeza Tanzania lakini Kwa angalizo hili👇👇

Sisi kwa ulaghai na kuwahonga na kuwarubuni viongozi wetu na taasisi/vyombo vyetu vya maamuzi katika nchi ili wapate upendeleo maalumu kwa hasara ya kuuza uhuru (sovereignty) ya nchi yetu..

Sisi (Watanganyika) hatuna shida na uarabu wa DP World/Dubai wala dini yao ama imani zao. Tanganyika inahitaji uwekezaji na wawekezaji ambao wao watapata faida ya uwekezaji nchini kwetu lakini nchi yetu pia ikipata faida ya wawekezaji hawa, kwa Kiingereza ikijulikana kama win win situation...
 
Sina taarifa ya kushikiliwa ndege yetu ila kama hili lina ukweli huenda kuna kishika uchumba ambacho mwarabu ameshatanguliza, iwe ni kupitia kulambisha watu asali au msaada wa namna fulani wa kinchi ukiwa na masharti kwamba apewe bandari, patamu hapo.
Hata Mimi leo kupitia kwa mtu fulani (physically) kaniambia hili kuwa waarabu wameshika ndege yetu..

Lakini ktk akili ya kawaida, hili ni kama haliwezekani Kwa sababu sisi Tanganyika hatuna na hutukuwa na kesi yoyote katika mahakama yoyote huko duniani na Dubai au DP World..

Sasa hiyo ndege (mali ya serikali ya Tanzania) itakamatwa kwa amri ya nani kisheria?
 
Kishika uchumba kinadaiwa.
 
Back
Top Bottom