Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi naona akiona hapamfai bas achague kurudi kwao na siyo kuua watotoHakuna mchakato acheni dhulma mnawadhulumu watoto wa watu mishahara yao, mnawanyanyasa wengine hamli nao meza moja nyie mkiwa sebuleni wao wanakula jikoni, wakiugua mnawasimanga mnawaona wavivu mnaishi nao kama watumwa alafu unaenda kazini unamuacha amlee mtoto wako unategemea nini? Lazima hasira zake atazimaliza kwa mtoto wako, tenda haki kwake muonyeshe upendo nae atakulipa wema kama unavyo mtendea
Kwa kweli huwa inanishangaza sana...mtu anayekupikia chakula unamnyanyasa, una hakika gani na chakula anachokutengea? Hata asipoweka sumu, akitemea makohozi je? Unaishi na mdada wa kazi na kumtenda kama mnyama, kisha unamkabidhi 'Junior' au "Princess' wako akulelee; kweli..? What goes around comes around..!Hakuna mchakato acheni dhulma mnawadhulumu watoto wa watu mishahara yao, mnawanyanyasa wengine hamli nao meza moja nyie mkiwa sebuleni wao wanakula jikoni...
Toa recommendations basi boss, mimi naona familia waishi na dada wa kazi kama mwanafamilia mwenzao, na wapate wadada wakazi wenye utimamu..afya ya akili.Na bado watauwa hivyo vitoto vyenu had mkomeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu wanawake ndo wanaongoza kuwanyanyasa wadada wa kazi we mwanaume ukimtetea dada wa kazi unaamsha vita utaambiwa unatembea naeKwa kweli huwa inanishangaza sana...mtu anayekupikia chakula unamnyanyasa, una hakika gani na chakula anachokutengea? Hata asipoweka sumu, akitemea makohozi je? Unaishi na mdada wa kazi na kumtenda kama mnyama, kisha unamkabidhi 'Junior' au "Princess' wako akulelee; kweli..? What goes around comes around..!
Mi naona wewe ukiona huwezi kuishi nae kwa wema ni bora usitafute dada wa kazi maana ukimfanyia ubaya huwezi kujua ataulipa kwa namna gani huenda asiue mtoto tu anaweza hata kuwawekea sumu nyumba nzima au awachomee ndani siku 1Mi naona akiona hapamfai bas achague kurudi kwao na siyo kuua watoto
Sasa ww kwann unamnyanyapaa wakat umemleta akulelee watoto wakoMi naona akiona hapamfai bas achague kurudi kwao na siyo kuua watoto
😄😄😄😄😄 Yaaaan ndo Kwa hapoAlafu wanawake ndo wanaongoza kuwanyanyasa wadada wa kazi we mwanaume ukimtetea dada wa kazi unaamsha vita utaambiwa unatembea nae
Akili gani hii ya kimangu manguNa bado watauwa hivyo vitoto vyenu had mkomeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe mzinguaji tuHili sio suala la kulipuuzia kabisa kwa sababu asilimia kubwa sana linawahusu hata kama sio leo ni kesho.
Ni unyanyasaji mkubwaa! Wao hawawezi halafu utasikia mimi binti wa hivyo siwezi mvivuuu!Yan ndo uhalisia rafikiyngu aliniomba nimtafutie msichana wa dukani mshahara elf 50 nikamtafutia bint jirani anasema ni Mkubwa anatak ambae anaweza kuamka akaosha vyombo ndipo aende dukani Yani ahudumie familia ndipo akauze duka
Nikajiuliiza ni WA dukani au msichana wa kazi za nyumbni
Yani mtu ahudumie wateja huko arudi et umwambie osha vyombo pika 😀😀 yeye angeweza anawatoto wanne inamaana siku akiwa yupo mwenyew dukani hapa home bint anakuwa msichana wa kazi kwakweli sikutaka dhambi nikamwambia apambane na familiayake sio kutesa watoto wa watu