King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hg wana matukio mengi sana hao watu.Kuna situation zinakulazimu uajiri msaidizi, nadhani hoja iwe ni kwa namna gani kupunguza hayo matukio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hg wana matukio mengi sana hao watu.Kuna situation zinakulazimu uajiri msaidizi, nadhani hoja iwe ni kwa namna gani kupunguza hayo matukio?
Nimeelewa usemayo mkuu,lakini akiona hatendewi mema achague kurudi kwaoSasa ww kwann unamnyanyapaa wakat umemleta akulelee watoto wako
Ishi nae vizur hata yeye hawez kua nahasra na mtoto wako
Lakin ww unamuona kama hafai
Kukaa na ww meza moja na bado unataka akae na Wanao kweli
Aisee😭Mi naona wewe ukiona huwezi kuishi nae kwa wema ni bora usitafute dada wa kazi maana ukimfanyia ubaya huwezi kujua ataulipa kwa namna gani huenda asiue mtoto tu anaweza hata kuwawekea sumu nyumba nzima au awachomee ndani siku 1
Wewe unalipwa sh ngp kazini kwako mkuu..unahalalisha mtoto afanyiwe ukatili kwa sababu dada aligombezwa na mwenye nyumba? Kwa nini asiondoke badala ya kudhuru mtoto mdogo?Tunafosi uhalisia wa maisha hauturuhu mshahara elf 30 sijui 50 Tena kumpa Kwa masimango mtoto wa watu anafanya kazi km mbwa.
Mwingine ana mtoto Mchanga hamshiki zaidi ya mda wa kumnyonyesha ni dada mbadilishe,dada Mpe maziwa ,mfulie kabint la miak 16 uvumilivu huo anautoa wapi
Hunatime nae Wala kujali ukute nyumba inawatoto wengi ndio balaa Kila mda dada hiki dada kile
Walipe vizuri ishini nao km familia wasikilizeni shidazao
Serikali inazitambua? AuMbona zipo kampuni zilizosajiliwa na kutambulika zinatoa hao "dada wa kazi". Tatizo wengi wanakwepa gharana ndiyo hayo unachukua mtu humjui unaishi naye.
serikali inazitambua? Au ndo zile akifika kesho tena simu anahitajika kwingine.Mbona zipo kampuni zilizosajiliwa na kutambulika zinatoa hao "dada wa kazi". Tatizo wengi wanakwepa gharama ndiyo hayo unachukua mtu humjui unaishi naye.
😅realMamy haitaji Dada wa kazi, anapangilia ratiba zake vizuri kuhakikisha Mwanae anapata malezi na huduma za Mama kwa 100%
Hakuna sehemu nimesema afanye ukatili Kwa watotoWewe unalipwa sh ngp kazini kwako mkuu..unahalalisha mtoto afanyiwe ukatili kwa sababu dada aligombezwa na mwenye nyumba? Kwa nini asiondoke badala ya kudhuru mtoto mdogo?
Unqcheka🙄, Mpaka wakuchinjie mtoto au wamtatue malinda ndo utakua serious.
Kuna situation zinakulazimu uajiri msaidizi, nadhani hoja iwe ni kwa namna gani kupunguza hayo matukio?
Mchukue eneo linalojulikana vizuri kwako na nduguze au nduguzo au watu unaowaamini wanaomjua vizuri .Hao ndio wanakuwa wadhamini wake in case of anything wana details zake zote A to Z kuanzia tabia nkHili sio suala la kulipuuzia kabisa kwa sababu asilimia kubwa sana linawahusu hata kama sio leo ni kesho.
Ana huo ubavu wa kukwambia anaomba arudi kwao umpe nauli na madai yake??Mi naona akiona hapamfai bas achague kurudi kwao na siyo kuua watoto
Ujue ushakua wwTrokaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leeni watoto wenu msitafutie watu lawama, kuzaa uzae wewe kulea alee mwengine, acheni tamaa za ulimwengu.Hili sio suala la kulipuuzia kabisa kwa sababu asilimia kubwa sana linawahusu hata kama sio leo ni kesho.