Mchakato wa kupata Dada wa kazi za ndani unapaswa kuwa vipi ili watoto wawe salama?

Mchakato wa kupata Dada wa kazi za ndani unapaswa kuwa vipi ili watoto wawe salama?

Yan ndo uhalisia rafikiyngu aliniomba nimtafutie msichana wa dukani mshahara elf 50 nikamtafutia bint jirani anasema ni Mkubwa anatak ambae anaweza kuamka akaosha vyombo ndipo aende dukani Yani ahudumie familia ndipo akauze duka
Nikajiuliiza ni WA dukani au msichana wa kazi za nyumbni
Yani mtu ahudumie wateja huko arudi et umwambie osha vyombo pika alaf akiwapiga watoto makonzi ulalamike 😀😀 anawatoto wanne inamaana siku akiwa yupo mwenyew dukani hapa home bint anakuwa msichana wa kazi Tena kwakweli sikutaka dhambi nikamwambia apambane na familiayake sio kutesa watoto wa watu
Damn!! Mama la mama hiyo username, umefanya nimemkumbuka Dear-ex(Aaliyah).

Hallelujah!!!
 
Na kesho uingie tena JF kupitisha bakuri huna shukhurani nyinyi watu ndio maana mnaishia kulaaniwa
 
Kabla ya kujadili huo mchakato wako.....
Unadhani nini hasa chanzo cha wadada kubadilika na kuanza kufanya ukatili kwa watoto ambao sio watesi wao...??
Minadhani tunatakiwa kuangalia root cause kabla ya kulewa...😑
Wafanyakazi wa ndani nao ni binadamu hivyo, kuna wenye roho nzuri au mbaya, wakarimu na wakatili. Pia ikifika muda atabadilika tu kutokana na influence za majirani ama mnavyoishi.

Kuna wengine wanachukuliwa vizuri hadi wanajisahau kama wapo kazini, wengine akitembea na faza house. Anaanza kuwaona wengine takataka

Ila kwa case za ukatili uliokithiri lazma kuwe na ugomvi mkubwa maana unamtesa mtu unaemuachia mtoto walo, anawapikia chakula na maji anawachemshia. Hapo si unajiweka katika hatari
 
Fanyeni kama watu wa Oysterbay wanaajiri dada wa kazi 300k

Mtu professional kabisa na hapo anafanya usafi kwa mashine anafulia mashine , kupika anapewa kitabu cha vyakula chenye maelekezo ya hatua kwa hatua pamoja na mashine za upishi wa hapa na pale 😅... na marupurupu chungunzima.

Kama huna hio ela au naww mwanamke ndo mshahara wako huo 300k we kaa ulee watoto kwanza mana hujafikia kuajiri msaidizi wa nyumba.

Mtu unamlisha maharage yale yanayokaa kwa fridge mwezi bado unamsimanga! Akulelee mtoto/mtumetume kama pia/akupikie/akufanyie usafi eeh hapo watoto zenu mtawakuta sana wametiwa sindano za utosi.

Unamlipa afu 50 punguza mdomo mhudumie ishi nae kama mdogo wako kuna mtu anaishi na dada wa kazi kama mdogo ake mpaka anasema usinilipe /watu wanawasomesha wadada wa kazi/wanawapa haki sawa na watoto wao hapo msichana atakuulia mtoto kweli??

Hapa jirani kuna dada wa kazi saizi yuko chuo mwalimu Nyerere anasomeshwa na boss! Mana kawalea watu wamefika O level na yy akaanzishwa QT
Kweli kabisa wapo wadada wamesomea house keeping,wengine wamesomea food and cookery. Hawa ndio wanafaa kuajiriwa na sio kumpa "ADOLESCENCE" alee mtoto
 
kiufupi ni kuishi nao kwa wema tu ila kuhusu malipo inategemea na uwezo wa mtu, mfano anayefanya kazi kwa mfanyakazi anayelipwa kima cha chini ni tofauti na anayefanya kwa mwenye mshahara mkubwa au mfanyabiashara.
 
Tunafosi uhalisia wa maisha hauturuhu mshahara elf 30 sijui 50 Tena kumpa Kwa masimango mtoto wa watu anafanya kazi km mbwa.

Mwingine ana mtoto Mchanga hamshiki zaidi ya mda wa kumnyonyesha ni dada mbadilishe,dada Mpe maziwa ,mfulie kabint la miak 16 uvumilivu huo anautoa wapi

Hunatime nae Wala kujali ukute nyumba inawatoto wengi ndio balaa Kila mda dada hiki dada kile
Walipe vizuri ishini nao km familia wasikilizeni shidazao

Mwingine amechukua mfanyakazi kamaliza darasal la saba ili aihudumie familia yenye watoto wa sekondaro bila kusaidiwa chochote.

Na hapo anasema atoe 50k Ila ukimuuliza kama anaweza kumlipa hivyo ndugu yake kwa kwa hizo kazi. Sidhani kama atakubali.

Kuna manyanyaso na kaunyonyaji flani tunakaendekeza sana
 
Wewe mwenyewe mleta Mada ni dada wa kazi tu mishauzi kibao hapo ulipo kumbe umekwapua simu ya boss wako kuingia JF akikubadirikia unambanika mtoto wa boss, hivi kwanini hamna shukhurani nyinyi? Muda huu umerudisha simu umelala kesho tena uinyemelee simu ya boss uingie JF utembeze bakuri
 
Toa recommendations basi boss, mimi naona familia waishi na dada wa kazi kama mwanafamilia mwenzao, na wapate wadada wakazi wenye utimamu..afya ya akili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu nikuchekeshee kitu, au bas

Swadaktaaaa!!
 
Mwingine amechukua mfanyakazi kamaliza darasal la saba ili aihudumie familia yenye watoto wa sekondaro bila kusaidiwa chochote.

Na hapo anasema atoe 50k Ila ukimuuliza kama anaweza kumlipa hivyo ndugu yake kwa kwa hizo kazi. Sidhani kama atakubali.

Kuna manyanyaso na kaunyonyaji flani tunakaendekeza sana
Yan 50 ndo mishahara Yao bas ajili wawili wasaidiane nyumba ya watoto watatu wa kwako ni ngumu kuitunza bint wa miaka 16 atawezaje

Bora kuajiri wenye professional zao Kuna mambo yatapungua km huna uwezo bas ni kupambana tu
 
Yan 50 ndo mishahara Yao bas ajili wawili wasaidiane nyumba ya watoto watatu wa kwako ni ngumu kuitunza bint wa miaka 16 atawezaje
Wanapewa mizigo mizito sana kiuhalisia ndio maana wengi wanapenda watoto waliotoka vijijini au mazingira magumu maana ni rahisi wao kuvumilia shurba kwa malipo kidogo
 
Tunaoishi na mabinti wa kazi tujitahidi sana kuishi nao kwa upendo mfanye ajisikie yeye ni part ya familia. Binadamu tunatofautiana sawa mwingine unaweza ukamtreat vizuri lakini akakubadilikia ila mimi naamini kwa kiasi fulani matukio tunayoyasikia ni visasi vya manyanyaso wanayopitia
 
Yan 50 ndo mishahara Yao bas ajili wawili wasaidiane nyumba ya watoto watatu wa kwako ni ngumu kuitunza bint wa miaka 16 atawezaje
realMamy ni beki 3 kwa hio mnamsaidia kumpa ABC za mabeki 3 lakini mwambieni next time JF asiingie na bakuri lake
 
Fanyeni kama watu wa Oysterbay wanaajiri dada wa kazi 300k

Mtu professional kabisa na hapo anafanya usafi kwa mashine anafulia mashine , kupika anapewa kitabu cha vyakula chenye maelekezo ya hatua kwa hatua pamoja na mashine za upishi wa hapa na pale [emoji28]... na marupurupu chungunzima.

Kama huna hio ela au naww mwanamke ndo mshahara wako huo 300k we kaa ulee watoto kwanza mana hujafikia kuajiri msaidizi wa nyumba.

Mtu unamlisha maharage yale yanayokaa kwa fridge mwezi bado unamsimanga! Akulelee mtoto/mtumetume kama pia/akupikie/akufanyie usafi eeh hapo watoto zenu mtawakuta sana wametiwa sindano za utosi.

Unamlipa afu 50 punguza mdomo mhudumie ishi nae kama mdogo wako kuna mtu anaishi na dada wa kazi kama mdogo ake mpaka anasema usinilipe /watu wanawasomesha wadada wa kazi/wanawapa haki sawa na watoto wao hapo msichana atakuulia mtoto kweli??

Hapa jirani kuna dada wa kazi saizi yuko chuo mwalimu Nyerere anasomeshwa na boss! Mana kawalea watu wamefika O level na yy akaanzishwa QT
Nimekupenda bure kabisa
 
Kuna haja pia ya kupata historia ya maisha ya binti wa kazi na familia yake huko unakomchukua.Vijijini kuna local life sana na imani za ovyo ovyo.Inahitaji kuwa makini sana hapo.
 
Katika vitu sivipendi kuwa na House Girl(Hg) ,kwanza siwaamini katika mapishi ,pili wana ushirikina sana ,tatu ni rahisi sana kutumika maana wengi hawajielewi.

Mimi napika vizuri kuliko house girl ,tatu muda mwingi sipo home ,tatu nikiwa home kazi nyingi nafanya mwenyewe sipendi kukaa kizembe...bora nikae na ndugu tu kuliko washirikina hao wanaotoka Iringa kama Hg.
Kuna situation zinakulazimu uajiri msaidizi, nadhani hoja iwe ni kwa namna gani kupunguza hayo matukio?
 
Kabla ya kujadili huo mchakato wako.....
Unadhani nini hasa chanzo cha wadada kubadilika na kuanza kufanya ukatili kwa watoto ambao sio watesi wao...??
Minadhani tunatakiwa kuangalia root cause kabla ya kulewa...😑
Umewah kua na msaidiz wa nyumban? Kama ndio utaelewa unaweza mpa kila kitu kama mwanafamilia na bado akafanya mambo ya ovyo sana
 
Hili sio suala la kulipuuzia kabisa kwa sababu asilimia kubwa sana linawahusu hata kama sio leo ni kesho.
Wamama waache kuwapiga wadada wa kazi. Waishi nao vizuri, mkiondoka tu watoto wanakua ngoma.
 
Back
Top Bottom