Mchambuzi IBRAHIM RAHBY ni mzuri sana wa mataifa sio imani yako ila swala la IRAN mbona unakwepa na mda mwengine unakwepa nchi yako

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Huyu mchambuzi ana media nzuri na mpaka Azam wanamtumia na BBC.

Ila swala la IRAN kama mda mwengine unaona ni la nchi yake kutaka kutoa dukuduku lake.

Ila umefikisha ujumbe japo kama makonda kupewa uwaziri ,Ndugu yetu tumekusoma sasa.
 
NILISHA WAAMBIA.....MTU YOYOTE ANAYE AMINI KATIKA UISLAMU NI MPUNBAVU KAMWE AWEZI KUWA NA AKILI
 
Nilishtuka mapema baada ya kutambua mlengo ktk uchambuzi, nikaanza kumpuuza tu
 
Back
Top Bottom