Hapa ndipo utashangaa yani! Mbilinge mbilinge zote hizi hakuna report hata moja kuwa makusanyo ya tozo kwa mwezi ni bei gani serikali imekusanya?πHii ndio hoja kuu, kinachokusanywa kinatumikaje?
Kwa nini uwe na jengo moja alafu una mita zaidi ya moja? Hapa itakula kwako tu...Kwaiyo hii ni fursa serikali inaji ole sabaya tu.
Kwa nini kengo moja ulete mota 2? Utavuta nyaya ngapi mpaka nguzo kuu kama unataka mota 6?
Hapa ndipo utashangaa yani! Mbilinge mbilinge zote hizi hakuna report hata moja kuwa makusanyo ya tozo kwa mwezi ni bei gani serikali imekusanya?π
Na je zimetumikaje? Waweke mpango kazi kuwa sasa serikali inahitaji budget kiasi hiki kukamilisha mradi huu wa shule hizi kila kata ama kitongoji! Ili pesa zikiingia ziende direct huko
Kwa majengo ya kawaida Kitaratibu haitakiwi..wanafanya hivyo tanesco sababu ya kuongeza mauzo ya mita...Hajaona jengo moja wanakaa mpangaji zaidi ya mmoja? Na pia meter/ luku ina inaunganishwa kwenye nguzo? Wire mmoja unazigawia meter zote zilizipo kwenye jengo/ nyumba moja.
matumizi ya kodi zetu yataonekana wazi, tutaona mabadiliko ya barabara, maji, elimu, matundu ya vyooo, zahanati, dawa hospitalini, n.k
Eeh zikifanya kazi tukaona lami kila mtaa kwa kasi ya ajabu tutazifurahia sio mnachangishwa hela maendeleo hamna ni wao tu wanabadilisha ma VXHali ikiwa hivyo utaona kama watu hawatapiga kelele tozo iongezwe zaidi ili watu wapate maendeleo. Kinachouma sasa hivi ni hiyo kutupia pesa kwenye shimo lisilojaa.
Exactly, pia unaweza kuta katika ghorofa labda third floor ina ofisi nne na kila ofisi ina meter yake. Sijui utaratibu upoje hapoNdio maana watu wakapendekeza iitwe kodi ya luku/ umeme/ meter kwa sababu inatozwa kwa meter sio jengo.
Jengo lenye meter 2 litatozwa 2,000 kwa mwezi wakati kimsingi kodi ya jengo inatakiwa iwe 1,000/- kwa jengo.
Kawaida yangu mkuu mR. Smiling man
Kwa majengo ya kawaida Kitaratibu haitakiwi..wanafanya hivyo tanesco sababu ya kuongeza mauzo ya mita...
Exactly, pia unaweza kuta katika ghorofa labda third floor ina ofisi nne na kila ofisi ina meter yake. Sijui utaratibu upoje hapo
Wananchi tumeridhia hizo tozo[emoji3][emoji3]Ukinunua Umeme utalipia Kodi nne:
1. VAT - 18%
2. Ewura - 3%
3. REA - 1%
4. Kodi ya Jengo (Tsh 1000- Tsh 5000)
Awamu ya sita, tozo ziendelee!
Kwn maana ya sheria Kinga kwa viongozi wa juu inamaana gani?.Kuna mahali katiba imeruhusu watu kujilbikizia?
Katiba mpya ni chaka tu linatimiwa wala sio mwarobaini wa changamoto zilizopo
Eeh zikifanya kazi tukaona lami kila mtaa kwa kasi ya ajabu tutazifurahia sio mnachangishwa hela maendeleo hamna ni wao tu wanabadilisha ma VX
hao ndio wanao takiwa anaye tumiwa elfu mbili naye ana changia kodi ya kizalendo!Kuna jengo Lina Vyumba vya maduka zaidi ya 10 na kila chumba kina mita yake.
mkuu me sio mgeni humu lazima una wenge la maji ya Ilala!! πTyping error...πππ
Wale wa kununua umeme wa buku buku itakuaje sasa?????