Mchango na uzoefu wenu kwenye Discovery 4 5.0L V8 (Mawazo)

Chukua Kwa Madiba Mkwaju mkali unaleta bongo tembelea namba za GP- Gauteng Province au Mpumalhanga njiani gari wakiona namba wanajua mkaburu.

Ukitaka gari za huko mcheki Isanga family anakuletea mpaka Jiji la A.Makalla uanze kuitoa Mafua kwenda Lake Zone, naamin ukipita Dodoma lazima uondoke hata na mbunge mmoja.
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ hiyo kuosha sanaaaa mwendo.. sema vi shape vyake vilivyokaa siviamini sana kwenye mwendo mkali labda huo uzito 2.5T.. ingawa za SA ni nyepesi sio kama za UK
 
BTW hata ushuru wa Gari kutoka S/Africa Ni cheap kulinganisha na Gari kutoka Japan/UK/US, sababu ya mkataba wa nchi za SADC khs Gari magari yanayotengenezwa ndani ya nchi Hizo.

Ni kuhakikisha tu mtu unapata certificate kutoka SA kuonyesha hio ndinga imetengenezwa humo nchini na sio nayo imekua imported.
 
Kuna katoto nimekutana nako hapa Grano coffee kananiambia nikanunulie VW Passat eti kamezipendaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. itabidi haka nikupasie mie sipo huko ukapuliza
 
26million nafuu kidogo ( japo sio ndogo) maana hiyo 26 unapata Crown GRS200.. ila kuna gari kama ma benz, na porche mengine ya huo mwaka ukitazama ushuru wake utachoka mwenyewe..
Na ili ushuru uwe hio mil 26 lazima hio disco 4 CIF yake iwe $10,201 au chini ya hapo.

Sasa nitafutie Disco 4 yenye features Kama hizo ulizozitaja na ambayo CIF yake itakua hapo kwny $10,201 au chini ya hapo mzee baba.
 
Na ili ushuru uwe hio mil 26 lazima hio disco 4 CIF yake iwe $10,201 au chini ya hapo.

Sasa nitafutie Disco 4 yenye features Kama hizo ulizozitaja na ambayo CIF yake itakua hapo kwny $10,201 au chini ya hapo mzee baba.
kina Zakayo wana mambo ya kichawi sana ndio maana nakuambia wanafurahi tuendeleee kuchezea kwenye crown ndio raha yao 😁😁😁
 
Unafuu wa kwa madiba ni kodi au bei ya kuinunua?
 
Unafuu wa kodi ni % kulinganisha na zinazotoka japan au uk?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…