Mchango na uzoefu wenu kwenye Discovery 4 5.0L V8 (Mawazo)

Hii hata mchungaji wangu aliniambia, na akasema kama ukitaka anaweza mtuma mtu kama mie sitaki kwenda akileta hadi hapa.. hivi karibu pale steam car wash ya mlimani city kuna gari tatu zote kali kinyama plate gauteng zilikuja kulamba mvuke.. ilikuwa benz, jaguar ingine sikumbuki hata
Chukua Kwa Madiba Mkwaju mkali unaleta bongo tembelea namba za GP- Gauteng Province au Mpumalhanga njiani gari wakiona namba wanajua mkaburu.

Ukitaka gari za huko mcheki Isanga family anakuletea mpaka Jiji la A.Makalla uanze kuitoa Mafua kwenda Lake Zone, naamin ukipita Dodoma lazima uondoke hata na mbunge mmoja.
 
😄😄😄😄 hiyo kuosha sanaaaa mwendo.. sema vi shape vyake vilivyokaa siviamini sana kwenye mwendo mkali labda huo uzito 2.5T.. ingawa za SA ni nyepesi sio kama za UK
 
Mzee baba kama ya kutumia miaka michache hauna lengo la kuuza Nenda mwenyewe South Africa kavute kule Bei za kutabasamu unakuja nalo Bongo na usajili wa Bondeni au utalipa ushuru boda.

Naona saizi wazee wa kufata gari South wanapush vitu vizito vikiwa na namba za Gauteng Province na Mpumalhanga ambazo Kwa bongo kutoboa Kodi lazima uumie.
BTW hata ushuru wa Gari kutoka S/Africa Ni cheap kulinganisha na Gari kutoka Japan/UK/US, sababu ya mkataba wa nchi za SADC khs Gari magari yanayotengenezwa ndani ya nchi Hizo.

Ni kuhakikisha tu mtu unapata certificate kutoka SA kuonyesha hio ndinga imetengenezwa humo nchini na sio nayo imekua imported.
 
Kuna katoto nimekutana nako hapa Grano coffee kananiambia nikanunulie VW Passat eti kamezipendaaa 😂😂😂😂😂.. itabidi haka nikupasie mie sipo huko ukapuliza
 
26million nafuu kidogo ( japo sio ndogo) maana hiyo 26 unapata Crown GRS200.. ila kuna gari kama ma benz, na porche mengine ya huo mwaka ukitazama ushuru wake utachoka mwenyewe..
Na ili ushuru uwe hio mil 26 lazima hio disco 4 CIF yake iwe $10,201 au chini ya hapo.

Sasa nitafutie Disco 4 yenye features Kama hizo ulizozitaja na ambayo CIF yake itakua hapo kwny $10,201 au chini ya hapo mzee baba.
 
kina Zakayo wana mambo ya kichawi sana ndio maana nakuambia wanafurahi tuendeleee kuchezea kwenye crown ndio raha yao 😁😁😁
 
Chukua Kwa Madiba Mkwaju mkali unaleta bongo tembelea namba za GP- Gauteng Province au Mpumalhanga njiani gari wakiona namba wanajua mkaburu.

Ukitaka gari za huko mcheki Isanga family anakuletea mpaka Jiji la A.Makalla uanze kuitoa Mafua kwenda Lake Zone, naamin ukipita Dodoma lazima uondoke hata na mbunge mmoja.
Unafuu wa kwa madiba ni kodi au bei ya kuinunua?
 
BTW hata ushuru wa Gari kutoka S/Africa Ni cheap kulinganisha na Gari kutoka Japan/UK/US, sababu ya mkataba wa nchi za SADC khs Gari magari yanayotengenezwa ndani ya nchi Hizo.

Ni kuhakikisha tu mtu unapata certificate kutoka SA kuonyesha hio ndinga imetengenezwa humo nchini na sio nayo imekua imported.
Unafuu wa kodi ni % kulinganisha na zinazotoka japan au uk?
 
Back
Top Bottom