inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Acha ujinga wewe,Mimi mpunga nimeuza February hii unasema hatuna mpunga!!..na si peke yangu,mmeshupalia walanguzi walanguzi...yaani wakulima hatuwezi kuhifadhi mazao yetu!!?Mlipokuwa mnasikiliza ngonjera za Bashe niliwashangaa sana. Mpaka mwishoni mwa Novemba hakuna mkulima aliyekuwa na mpunga Bali walanguzi ambao wana connection na kina Bashe. Kwa sasa wameshauza mizigo yao ndo wanaruhusu mchele toka nje. Msidanganyike kirahisi eti Wakulima wataathirika.