christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Hapa mimi naona wanaofaidika ni wafanya biashara sabubu hakuna mkulima anayeuza mchele sasa hivi kilo shs 3600 huyu ni mfanyabiashara na kama wapo wakulima basi ni wachache sana.
Hivi sasa wakulima wanakaribia kuvuna ukiagiza mchele wa nje huu wa ndani utashuka bei hivyo wafanyabiashara watanunua mpunga kwa bei rahisi kwa wakulima watahifadhi then baada ya muda wataacha kuagiza mchele wa nje then kutakuwa na shortage hivyo bei itapanda ndio watafungua maghala yao.
Mimi nadhani ingefaa sana wangeagiza mchele kile kipindi ambacho sio cha kukaribia mavuno.