Mchele kutoka nje na hatma ya wakulima wetu

Acha ujinga wewe,Mimi mpunga nimeuza February hii unasema hatuna mpunga!!..na si peke yangu,mmeshupalia walanguzi walanguzi...yaani wakulima hatuwezi kuhifadhi mazao yetu!!?
 
Utaweza kula kitumbo sheikh!?
 
Wakulima wa nyakati hizi hawana akili kabisa.. kwao ni bora kushabikia mfumuko wa bei huku yeye mwenyewe haijui kesho yake na mazao yake yatakayomchwea ndani..
Correct.
 
Kama tunaruhusu mchele wa njee, basi turuhusu wakenya na waganda waje kuuza cv zao kwa kazi za Tanzanian.

Haiwezekan mwalim English medium mtanzanua namlipa 600,000 kizungu makengeza, wakati walimu waganda nlikuwa nawalipa 250,000
 
Watu hamna jema hata malaika ashuke na kuwapa kila kitu bure bado tu lawama hazitaisha.
 
Kila mtu ashinde mechi zake, wengine sio wakulima, ni walanguzi, na ndio wana majibu ya ovyo kuhusu bei ya mchele.

Wanasema ukitaka rahisi nenda ukalime, lakini sukari ilivyopanda bei hawkuzalisha ya kwao, na serikali ilipanga bei,

Kila mmoja akitaka kuuza bidhaa yake anapotaka itakuwa ngumu,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Simba moja Small Simba moja!
 
Kwanini mchele tu? Mbona kwenye bomu la sukari wasiruhusu? Bidhaa za viwandani utasikia tunalinda viwanda vya ndani why not wakulima? Anayeona chakula ni ghali aende shamba akalime chake?
 
Yeye kaupata wapi?
Mwakan atarudi kwa mkulima kwa bei ghani?
Mfanyabiashara anaangalia faida,

Kama ktk kuuza kilo moja 3500 anapata faida ya sh 300 Kwa kg,

Mchele utakapoingia Kutoka nje na Bei ya kuuzia ikashuka Hadi 1800 Kwa kilo, Bado atahakikisha faida yake inabaki 300 Kwa kilo au zaidi ya hapo.

Acha nguvu ya soko ifanye KAZI, inaitwa demand na supply.

Usimhurumie mtu asiyeshika jembe, anatumia ela kupata ela.
 
Nilikula sana tu wakati wa njaa kali ya el nino iliyoikumba nchi mwaka 1998! Na hapa sijaongelea kabisa ugali na uji wa Yanga wakati wa njaa ya mwaka 1984!!! ☹️
El nini mbona palikua na chakula kingi hasa sehemu zenye upungufu wa mvua Kama tabora na shinyanga!!..nakumbuka kwa Mara ya kwanza familia ilivuna gunia 39+ za mpunga,tukala Hadi 2005 maana tulikua tukijazia kila mwaka,hiyo njaa ilikua mkoa gani?
 
Kwani wizara ya elimu haikuwepo hadi vitabu vya ngono vimeingizwa mashuleni ndio wanakuja kujua?
 
Tatizo lilianza pale bei ya mchele ilipopanda, solution ikawa kuruhusu mchele wa nje kuingia. Kwa hiyo wanaoumia ni wakulima kwa sababu mchele utakapoingia utashusha bei ya mchele masokoni
Wafanyakazi na wafanyabiashara watapata ahueni.
 
Safi sana mkuu
 
Itakuwa ngumu kivipi???Wewe zalisha kwa wingi uwezavyo,nunua kwa wingi uwezavyo,kama faida ipo kuna shida gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…