PreGE2025 Mchengerwa achukizwa na maamuzi ya RC Chalamila, ahoji ametoa wapi mamlaka?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwani waziri na mkuu wa mkoa yupi mkubwa kinafasi, najua wote ni wateule wa Raisi
Mwanzoni nilikuwaga najua mchengerwa ndio mkuu wa mkoa alafu chalamila ndio waziri
Ila kwa hilo swali lako nahisi cheo cha uwaziri cha mchengerwa ndio kinachomuweka juu ya chalamila akitolewa uwaziri hamna maajabu rejea sakata la Paul Makonda na yule mbunge wa arusha
 
Bond mifumo ni uchawa na uhovyo tu.nahuko ndio tunapo potezea muda,rasilimali na chanzo cha umaskini na matatizo yote ya taifa hili.
 
Kwani waziri na mkuu wa mkoa yupi mkubwa kinafasi, najua wote ni wateule wa Raisi
wewe acha kujiaibisha mkuu. Waziri anasimamia wizara husika nchi nzima, Yuko juu ya wakuu wa mikoa wote, katibu wa wizara na msaidizi wake, n.k
 
hata kama chalamila ni kiroporopo lakini kwenye hili alitumia busara nzuri kutokana na ujenzi wa miundo mbinu kumekuwa na changamoto kubwa sana ya foleni na kwa kuwa mwendokasi haujaanza kazi kwenye njia husika inasaidia kupunguza foleni.
Ni kweli lakini alitakiwa afate utaratibu.

Wenye bara bara ndo waruhusu, sio yeye kasimama jukwaani tu na kutoa maagizo.

Mkoa sio Shule ya Sekondari, Kwamba mwalimu mkuu anaweza akaamua tu Darasa la nne maknibebe kuni nyumbani
 
Huyu ndie waziri mku ajae.
Kuna yule wa tamiseni wa zamaninae katika wawili hao wako mezani..
Naomba niishie hapo
 
Huyo ni kati ya mawaziri matrionea, wanaogelea kwenye pesa zisizojulikana chanzo chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…