PreGE2025 Mchengerwa achukizwa na maamuzi ya RC Chalamila, ahoji ametoa wapi mamlaka?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
pameanza kuchangamka
 
Chalamila akishavuta bangi zake za Njombe anajiona yeye ndiye Rais wa nchi hii.
 
wewe acha kujiaibisha mkuu. Waziri anasimamia wizara husika nchi nzima, Yuko juu ya wakuu wa mikoa wote, katibu wa wizara na msaidizi wake, n.k
Nini cha manufaa zaidi ya Chalaboouy kafanya zaidi ya uchafuzi wa kitaaaa?
 
Huyu ndo aliengua majina ya wapinzani sio huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…