MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Hayo unayoongea ni mambo mengine sasa. Cha muhimu elewa hizo hela anazo bila hata kuiba yaani kihalali.Kwamba kwa nchi ambayo watu kupata milo mitatu ni shida na wengine hata maisha ya ukoo mzima hawawezi kupata hata robo ya pesa hio kwa mwaka mtumishi wao kulipwa 18 na ziada nyingine ya kuwa Uwaziri unaona kwamba huo sio Wizi kwa Walalahoi ? Ukizingatia nchi hio wala sio sustainable na bajeti yake inaendeshwa kwa mikopo wanayolipa hao hao Masikini....
Mbunge wa Rufiji ndugu Mchengerwa akabidhi fedha za mshahara wake she. 50,000,000 kwa walioathorika na mafuriko. Mchengerwa kama kiongozi ametoa fedha hizo taslimu cash zilizofungwa katika mabunda ya noti kwa mkuu wa wilaya ya Rufiji mbele ya hadhira iliyokuwepo ..
View: https://m.youtube.com/watch?v=OKihl7VTaHg
Sambamba na tukio hilo la waziri Mchengerwa, UVCCM uongozi wa kitaifa umekabidhi misaada mingine
Kuna watu walikuwa wanamiliki Binadamu wenzao kihalali enzi za utumwa je hio haikuwa uzandiki na upuuzi sababu ni halali ?Hayo unayoongea ni mambo mengine sasa. Cha muhimu elewa hizo hela anazo bila hata kuiba yaani kihalali.
Kwa mshahara wa Waziri huo ni sawa na mshahara wa miezi 36 baada ya makato. Je anakula nini na familia yake kwa kipindi hicho?Mchengerwa akabidhi shs. 50,000,000 kutoka mshahara wake kusaidia Wana-Rufiji waliokumbwa na mafuriko
Mbunge wa Rufiji ndugu Mchengerwa akabidhi fedha za mshahara wake she. 50,000,000 kwa walioathorika na mafuriko. Mchengerwa kama kiongozi ametoa fedha hizo taslimu cash zilizofungwa katika mabunda ya noti kwa mkuu wa wilaya ya Rufiji mbele ya hadhira iliyokuwepo ..
View: https://m.youtube.com/watch?v=OKihl7VTaHg
Sambamba na tukio hilo la waziri Mchengerwa, UVCCM uongozi wa kitaifa umekabidhi misaada mingine
Acha wivu wewe kenge. Huko migodini watu wanalipwa mishahara ya kufuru. Pambana upate hela acha kuonea wivu watu.Kuna watu walikuwa wanamiliki Binadamu wenzao kihalali enzi za utumwa je hio haikuwa uzandiki na upuuzi sababu ni halali ?
Yaani kuwa na salary scale ya kiasi hicho kwa kupitia kodi za mlalahoi ni wizi na ujambazi kuanzia aliyepanga hio mishahara mpaka yule anayechukua
UshwaMchengerwa akabidhi shs. 50,000,000 kutoka mshahara wake kusaidia Wana-Rufiji waliokumbwa na mafuriko
Mbunge wa Rufiji ndugu Mchengerwa akabidhi fedha za mshahara wake she. 50,000,000 kwa walioathorika na mafuriko. Mchengerwa kama kiongozi ametoa fedha hizo taslimu cash zilizofungwa katika mabunda ya noti kwa mkuu wa wilaya ya Rufiji mbele ya hadhira iliyokuwepo.
View attachment 2960951
Sambamba na tukio hilo la waziri Mchengerwa, UVCCM uongozi wa kitaifa umekabidhi misaada mingine
Haya majibu yananikumbisha utawala wa mkapa. Kweli ccm ni ileileAcha wivu wewe kenge. Huko migodini watu wanalipwa mishahara ya kufuru. Pambana upate hela acha kuonea wivu watu.
Aisee hivi unajua hata unachokiongea ? Migodi ni Ni fully state owned ? Migodini kunazalisha kiasi gani ? Unafananisha private owned company na mtumishi ambaye anajilipa kuliko mwenye mali ?Acha wivu wewe kenge. Huko migodini watu wanalipwa mishahara ya kufuru. Pambana upate hela acha kuonea wivu watu.
Wewe una wivu. Ungekuwa mbwa ningekutupia mfupa uache kelele.Aisee hivi unajua hata unachokiongea ? Migodi ni Ni fully state owned ? Migodini kunazalisha kiasi gani ? Unafananisha private owned company na mtumishi ambaye anajilipa kuliko mwenye mali ?
Na kwa akili hii tuna safari ndefu sana au haujui ni hizi tozo (pesa tunazokamuliwa) na bakuli linalotembezwa ndio linawagharamikia hawa watu.....; Unapigwa Tozo miaka na miaka unapata majanga sababu ya hao wanaokula jasho lako kutokuwa na foresight au kufanya kazi pro-actively alafu majanga yanatokea unaletewa tuvitu unaona la maana sana limefanyika....; kumbe ni yale yale ya wazee wa after the fact...
Mshahara wake ni bei gani ?Mchengerwa akabidhi shs. 50,000,000 kutoka mshahara wake kusaidia Wana-Rufiji waliokumbwa na mafuriko
Mbunge wa Rufiji ndugu Mchengerwa akabidhi fedha za mshahara wake she. 50,000,000 kwa walioathorika na mafuriko. Mchengerwa kama kiongozi ametoa fedha hizo taslimu cash zilizofungwa katika mabunda ya noti kwa mkuu wa wilaya ya Rufiji mbele ya hadhira iliyokuwepo.
View attachment 2960951
Sambamba na tukio hilo la waziri Mchengerwa, UVCCM uongozi wa kitaifa umekabidhi misaada mingine
Mshahara wake ni bei gani ?
Pesa zake mwenyewe hujui kwamba huyu ni mkwe!!! tuacheni vichekesho banaMchengerwa akabidhi shs. 50,000,000 kutoka mshahara wake kusaidia Wana-Rufiji waliokumbwa na mafuriko
Mbunge wa Rufiji ndugu Mchengerwa akabidhi fedha za mshahara wake she. 50,000,000 kwa walioathorika na mafuriko. Mchengerwa kama kiongozi ametoa fedha hizo taslimu cash zilizofungwa katika mabunda ya noti kwa mkuu wa wilaya ya Rufiji mbele ya hadhira iliyokuwepo.
View attachment 2960951
Sambamba na tukio hilo la waziri Mchengerwa, UVCCM uongozi wa kitaifa umekabidhi misaada mingine
Shida yako unaangalia mambo nusu nusu sio kuangalia the whole picture...; Kuna msemo a flap of a butterfly on one part can cause Tsunami on another part of the world...Wewe una wivu. Ungekuwa mbwa ningekutupia mfupa uache kelele.
Wewe mpumbavu nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria. Hiyo mishahara ipo kisheria na sio kwamba waziri anajiamulia. Mwambie mbunge wako apeleke hoja bungeni ya kupunguza mishahara. Acha kuleta hisia zako zinazochangiwa na wivu wa kike.Shida yako unaangalia mambo nusu nusu sio kuangalia the whole picture...; Kuna msemo a flap of a butterfly on one part can cause Tsunami on another part of the world...
Serikali inaongozwa kwa Kodi; Walipa Kodi ndio hao Walalahoi ambao wanabana Mkanda na ni wagumu kulipa sababu hawaoni Value for Money Kwahio viongozi inabidi ku-lead by example.... Wewe huwezi kuwaambia watu watoe Kodi / Tozo ambayo ni zaidi ya nusu ya mapato yao alafu wanaona wewe unayewaambia mshahara wako mmoja tu unaweza kulisha Ukoo wao Mzima....
Kama mtaani ni rahisi kwanini usichukue mshahara mdogo na wewe ufanye miradi au kufungua genge la nyanya kama unavyowaambiwa wao wafanye